Jamani askari tuliostaafu tunaomba Rais Magufuli utukumbuke pensheni bado, hali ni ngumu mtaani huku

Mpk hapo umekua sio mzalendo,utakua unatumika mabeberu mkuu.
Wewe inaonekana sio mfanya kazi maana usingeongea kwa kujitoa fahamu, kwani kutumika na mabeberu kuna kuwaje mfano. ndio mlitunga sheria za kuwanyamanzisha watanzania wasiwe wanadai haki zao, pumbavu
 
Kaaa kimya na uendelee kutii mamlaka mpaka pale watakapoamua kukulipa. Askari kuwa mkakamavu. Shubaaamit
Nitakaa kimya kama ww na wenzio ndio wamiliki halali wa nchi hii kama mnavyojigamba, tumeshakuwa werevu msifikiri kila mtu ni zezeta uchawi wenu ume expire
 
Nitakaa kimya kama ww na wenzio ndio wamiliki halali wa nchi hii kama mnavyojigamba, tumeshakuwa werevu msifikiri kila mtu ni zezeta uchawi wenu ume expire

Utalipwa serikali tunawatambua RAIA wote waliolijenga taifa letu la asari na maziwa.
 
Nitakaa kimya kama ww na wenzio ndio wamiliki halali wa nchi hii kama mnavyojigamba, tumeshakuwa werevu msifikiri kila mtu ni zezeta uchawi wenu ume expire
[emoji23][emoji23][emoji23]
Pole sana mzee wangu, nikushauri tu uwaombe waliobaki kazini sasa wasimamie haki. Maana mkishamaliza kutumika mnatemwa kama bublish.

Juzi kuna mkuu wenu mmoja mstaafu ghorofa lake limeuzwa na benki kashindwa kulipa mkopo.
 
Wewe inaonekana sio mfanya kazi maana usingeongea kwa kujitoa fahamu, kwani kutumika na mabeberu kuna kuwaje mfano. ndio mlitunga sheria za kuwanyamanzisha watanzania wasiwe wanadai haki zao, pumbavu
Mkuu Magufuli mitano tena.

Naona unahamu ya kupigwa 'doso'.
 
Sio yule dingi anaefanana na Shetta mkuu'?
 
Poleni wazee wetu
Serikali ya JPM fanyieni kazi hii kero ya wazee wetu
 
Muumnde kikundi cha kufuatilia serikalini inaweza ikasaidia.
 
Hapa kazi tu.
Halipi pensheni. Anajenga Chato Airport. Daraja la Kigongo. Hospital ya Rufaa Chato. Uwanja wa mpira Chato.

Jamani tuwe Wazalendo japo kidogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…