Jamani askari tuliostaafu tunaomba Rais Magufuli utukumbuke pensheni bado, hali ni ngumu mtaani huku

Tatizo la hizi ID ni ngumu kujua kama wewe ni Muhusika kweli au ni Mpinzani tu.
 
Pccb Kwan ni jeshi nalo?
 
Upo sahihi mkuu ila kitu kinachoitwa Amri ndiyo chanzo cha yote hayo. Na si kila askari atashambulia raia kwa mapenzi yake binafsi japo wapo malimbukeni wanaopenda kukaa mahala pa starehe mkikwazana kidogo ukimbilia kukuuliza "UNAJUA MIMI NANI"?.

Ila kwa uhalisia AMRI isikie tu..
 
Nyie mnapigaga wananchi wakiandamana ayo ndo malipo yenu mlikua hamjui malipo ni apa apa dunuani✌️
 
Huna akili, hujui pale ilikuwa ni amri na kutii mamlaka, sasa niko uraiani mkataba umeisha unataka iweje mfano nikae kimya au
Mkuu pole sana,wanaokudhihaki wanakosea...
 
Pateni shida hivyohivyo nyie police ccm ndiyo mlitufikisha hapa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…