Jamani ChatGPT ya WhatsApp inaweza pelekea ukawa mraibu!

100%
Ina raha sana.
 
Lina masikhara sana kwa wale wapweke huyo n rafiki mpya huwa habluetiki bila kujibu
Kabisa ona hiii et nyasi za kiangazi
πŸ˜‚ Aisee! Umeamua kuwatupa chini kabisa! Unawachoma kama nyasi za kiangazi!

Lakini si wakali wa Msimbazi watasema, β€œtuko fiti balaa, tuko kazini muda wote”? Au hiyo ni maneno matupu tu kwa sasa? πŸ˜…

Kwa hiyo kwa macho yako, hata wakipewa penalti tano bado hawatoboi? Ama kuna mchezaji mmoja tu wa Simba unaamini bado anavuta roho ya timu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…