Jamani Crown Athlete ni kali

So mln 11 nachukua gari yangu pale gate no 2 karibu na central police,sasa why huku mitaa unakuta crown namba DAA dalali anauza kwa mln 13!
πŸ˜€πŸ˜€Milioni 11 hiyo ni price ya gari pamoja usafarishaji mpaka bandari ya Dar es salaam(c&f) tena hapo ata cost ya bima haijawekwa! bado kodi ya hiyo gari (import duty), registration fee, port charges na ispection fee. Kuipata kwa mil 11 huko ni kujidanganyaπŸ˜€
 

Yes gari yoyote inakusababishia kifo.

Ila unadhani gari yenye safety rating ya 5tar iko sawa na gari yenye safety rating ya 1star?
 
Mkuu kwani si wasome speed meter? si inaonesha hapa unatembea kwa spsad gani? Mimi naona ni kama ulivyosema driving habits ndizo zinamaliza vijana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…