Crown sio Gari ya mpito kama unavyofikiria, Crown imeanza kutengenezwa tangu mwaka 1959 na ni flagship of Toyota kwa Sedan cars, kule Japan inatumika sana kusafirishia viongozi wa serikali na hutumika kama patrol car kwa jeshi la polisi. Driving habits ndio inayoua watu usipofata sheria za barabarani na ushamba mwengine mwengine huko barabarani gari yoyote ile itakusababishia kifo. Sehem kubwa ya barabara za Tanzania sio salama sana kuendesha kwa over 150km/hr.
NB: Gari kama Crown comfortability yake na utulivu wake barabarani ata unapokuwa 180km/hr unajiona kama upo 80km/hr na hapo ndio tatizo linapoanzia