Jamani Crown Athlete ni kali

Yes miongoni mwa magari ya toyota ya muda mrefu ni hilo ma cruiser na Corolla

Gari ndogo pia zilizokaa muda mrefu ni vitz ..i wonder why tz wanapenda IST
 
Wakuu naomba kuuliza swali,

Hivi hizo Crown, Fuga, Mark X n.k hivi ukifika Speed 180km/hr mshale ukasoma hapo baada ya hapo unaenda wapi? Au kinachofuata ni nini? Regardless umetumia sekunde 10 kufika speed ya 180.

Utajisikiaje unafika speed 180 umemaliza halafu kanatokea ka BMW 3Series ka mwaka 2006 kana kupita kakiwa speed 220? na bado speed inadai mpaka 260km/hr? Mbaya zaidi kana CC 2,000 [emoji16]

Mimi nikifikiria hilo bado mjerumani nampa heshima yake.
 
Uko sahihi kabisa. Fuga 350 na 280HP zake linatoka 0 mpaka 180kmph ndani ya sekunde 30. Likifika hapo ECU inazuia mafuta yasiingie kwenye cylinder so hata ukaze tako vipi inakuwa ni kama hujakanyaga mafuta - hiyo ndio electronic limiter.

Hiyo gari huwa inagusa 180kmph at 5000rpm ukiwa 4th gear na inamaintain 180kmph at 4000rpm at 5th gear.

Kama barabara inaruhusu, ki VW cha cc1800 kitakuja kikufikie na kikupite huku wewe uko stuck at 180 na huna la kufanya.

Yana mwendo sawa, engine zake zina nguvu sana, zina acceleration ya ajabu, ila hazifui dafu mbele ya mzungu mwenye turbocharged 3000cc au zaidi.

Your browser is not able to display this video.
 

Maelezo mazuri sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…