Jamani Crown Athlete ni kali

N
Ukimaliza 180 ka Audi A4 kanaanza kukuvuta taratibu😂😂😂
 
Was on Audi A4. 2.0 TFSI quattro max speed. 280 km/hr from Dar to Arusha
tena naenda Send off kuchukua mke wa Kimeru. Wakati naitafuta Same nacheza na 240 Km/ Hr it was like hell
 
Gari ya cc 2000 natural aspirated haiwezi fika 260kph

Hio ni speed labda unaeza achieve na 1jz gte inayotoa 280hp
 
Jamani naomba msaada wenu kuhusu namna ya kubana matumizi ya mafuta niendeshapo gari dogo labda kama kuna namna flani a kukanyaga ile pedal ya mafuta. Safari zangu sio ndefu ni za kuzungumguka tu mjini. Je, ninapoendesha kwa kasi kisha nikaacha kukanyaga pedo ya mafuta gari ikawa inaserereka yenyewe, inaweza kusaidia?
 
sisi walokole hatuwazagi sana kuhusu kutumia mafuta mengi kiasi gani,kwa sababu vya dunia vyote tutaviacha.,
 
Binafsi niliamini hivyo kwa hiki chuma,niliiweka jamii moja na kina gx 100,mark x,brevis n.k,lakini naona miaka inaenda chuma kimesimama pale pale na bei aishuki,crown itakua ni kweli ndege ya chini
 
Audi A4 ya mwaka gani na ulitumia muda gani kufika
 
Kuna kitu kinakitwa HKS Speed Limit Defencer III ukiweka kwenye gari za Japan huo mshale unazidi hapo kwenye 180km/h kwaio spidi inafika hata 260 chamsingi uwe na matairi tu ya kuhumili hios speed..
 
Kuna kitu kinakitwa HKS Speed Limit Defencer III ukiweka kwenye gari za Japan huo mshale unazidi hapo kwenye 180km/h kwaio spidi inafika hata 260 chamsingi uwe na matairi tu ya kuhumili hios speed..

Kwa nini ukiweke wewe wakati watengenezaji hawakukiweka?
Gari za japan hata ukifika 120km /hr kanaanza kupepesuka.
Assume hicho kifaa chako nacho kifungwe kwenye VW GOLF au AUDI.
Zitafika speed gani?
 
Kwa nini ukiweke wewe wakati watengenezaji hawakukiweka?
Gari za japan hata ukifika 120km /hr kanaanza kupepesuka.
Assume hicho kifaa chako nacho kifungwe kwenye VW GOLF au AUDI.
Zitafika speed gani?
Hivi unaelewa maana ya aftermarket parts? HKS wao wamespecialize ku tune gari JDM (Japanese Domestic Market) sheria ya JAMA hairuhusu gari ya JDM kuzidi 180KM/H kwaio hakuna gari inayotoka kiwandani kwa ajili ya JDM ikazidi Speed 180KM/H kwaio hapo ndo wanapoingia HKS speedometer inazidi na kufika huko kwenye hio 260km/h za huko ujerumani..hiki kifaa sio changu mimi mzee ni cha HKS..🤣🤣🤣🤣 inaonekana umemaindi kufahamishwa kwamba JDM zinatoboa zaidi ya 180KM/H...🤣🤣🤣 HKS Speed Limit Defencer haiwezi fungwa kwenye gari za kizungu(Audi, Golf GTI,BMW) ni za JDM tu...🤣🤣🤣🤣
 
Kwa nini ukiweke wewe wakati watengenezaji hawakukiweka?
Gari za japan hata ukifika 120km /hr kanaanza kupepesuka.
Assume hicho kifaa chako nacho kifungwe kwenye VW GOLF au AUDI.
Zitafika speed gani?
We jamaa haujielewi....kwan hicho kifaa nani kakwambia kinaongeza speed?? Hicho kinatoa speed limiter ya gari za JDM

Hicho ki golf chako kinatembea hadi uwezo wake wa mwsho bila limiter hadi kitakapokwama chenyewe ....hivi gx110 yenye 1G tu unajua ile gari ni kichaa ni vile tu zina limiter
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…