Jamani Crown Athlete ni kali

A Precision craftmanship 228hp doubleturbo charged engine, wenyewe wanaiita 2021 GOLF "HOT" GTI kwa bei ya $200,940 mzee baba. Sasa i convert hayo madola kwa pesa zetu za madafu kwa rate ya leo
GOLF GTI $200,940?? Au una maanisha $20,940??
 

Nimekuelewa
Ila Samahani mkuu,
Hivi hizi Landcruiser ambazo huwa zina speedmeter 240 km au hizi nissan au suzuki used ambazo huwa tunanunua used kutoka Japan ambazo zina speed zaidi ya 180 km/ hr mbona zinakuwa zimetumika Japan?
Licha ya Zuio hilo?
Mfano hii ni SUZUKI SX 4 na ina speedmeter ya 200 km/ hr


Na iko Japan je hii gari hairuhudiwi kutumika Japsn?, mbona ni used?
 
Jibu la swali lako lipo kwenye hii screenshot mwanzoni sikusoma vizuri kuhusu JAMA kwamba ni Voluntary request kwaio kama ni voluntary unaweza kuchagua kufanya ama kutokufanya..katika maelezo yangu nilielezea kama vile ni mandatory speed kua 180KM/H ila ni vizuri maana ume admit mwenyewe kwamba yapo magari yenye zaidi ya 180KM/H tena JDM mimi nilijikita kwa wale tunaotaka kukata utepe wa 180KM/H...🤣🤣🤣🤣🤣 tukizichapa hizo European Cars...🤣🤣🤣🤣
 

Attachments

  • 20220616_224138.jpg
    84.4 KB · Views: 52
Mtaalamu gari ukiambiwa ni naturally aspirated maana yake haina Turbo( use of forced induction) hio Golf GTI ulioweka ina forced induction(Turbo) ndo maana imeweza kufika hio speed kubwa...
Naona anazidi tu kuleta video ndo mana nimeamua kutomjibu maana haelewi...

Yeye anaanza leta gari zenye turbo...wenzetu wanaeza force 5L v8 engine kutoa 1200hp equal to 240hp per 1.0L
 

Sawa mkuu
 
Haya mawazo yako ya kilevi unayatoa wapi wewe yaani ufike speed 180 kwa sekunde kumi wewe unaota alafu kuna kitu huelewi jatibu kujofunza taratibu utaelewa
 
Apa tunaongelea natural aspirated car mzee ama huelewi maana ya natural aspirated mzee
 
Ukiona unaikubali sana hiyo Gari Iitakuja kukuzika siku Moja,Mimi Nayapenda kama magari mengine tuu!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…