Jamani Crown Athlete ni kali

Itakuua hio gari. Gari zenyewe ikifika over 120kph tu hazikai mkononi mnataka kutoa limiter ya 180kph!
Hizi crown grs200 nzuri luxury kuchezea nazo Kwa speend above 180kmh na mashaka nazo.. Kuna test imefanyia hapo mlimani city grs200 na Lexus gs450.. grs200 kufuka 160 unaona ushakuwa nyepesi kinoma, ila Lexus ilikuwa imeshika chino vizuri. Huyu mkuu labda atakuwa naweka na mahindi kwenye boti iwe nzito kidogo
 
Ndani ya sekunde kadhaa kimemaliza kisahani
 
VW Golf GTI funga kazi😊
Mchezo hatari na usiingie ligi barabarani kwa ushabiki.
Kumbuka, gari ZOTE za kijapani max speed ni 180k/hr.
Gari nyingi za Europe max speed 240-260km/hr.
Sasa ukiingia ligi unaatarisha maisha yako.

Pili ukiendesha, for total concentration usiendeshe na mashabiki wakikushangilia, you will make a wrong judgement.
Kwa mfano kwenye kona kali ukiingia kwa 140km/hr breki hazikusaidii,utatoka nje ya barabara tu.
Drive safely.
 
2GR ipo kwenye Crown Majesta ule ni mziki mwengine

πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Crown Majesta cc 4300 sawa na Toyota Celsior. Zinatumia injini ua aina moja. Kibongo bongo hizo cc noma sana. Sawa na Cruiser mkonga
 
πŸ˜€ πŸ˜€ πŸ˜€ Crown Majesta cc 4300 sawa na Toyota Celsior. Zinatumia injini ua aina moja. Kibongo bongo hizo cc noma sana. Sawa na Cruiser mkonga
Majesta inatumia 3UZ engine....cc 4300 kuna v8 za petrol zinatumia engine hizo huo ni umeme
 
Kwani unanunua gari yako kwa ajili ya racing barabarani au ikusaidie kweny matumizi ya usafiri..ndio maana zinawachinja...kama unataka racing wafate kina Hamilton huko
 
Mara nyingi jaribu kuweka ama kuendesha gari yako kwa kutumia snow mode ukiweka gari yako kwenye snow mode gari haitumii mafuta mengi kifupi utasave mafuta mengi mpaka mwenyewe utashangaa ila hii ni kama gari yako itakuwa na iyo option ya snow mode!!
hiyo snow mode huwa inapatikania wapi. inawezekana ipo ila sijaing'amua!
 
πŸ˜€ πŸ˜€ inabidi ununue gari ambalo una uwezo nalo. Nina Mark X ambayo inatumia injini sawa na Crown, sijawahi kujuta.
Kweli Chief tatizo linaanza unapofakamia
 
πŸ˜€ πŸ˜€ inabidi ununue gari ambalo una uwezo nalo. Nina Mark X ambayo inatumia injini sawa na Crown, sijawahi kujuta.
Siyo una gari inayotumia engine sawa na Crown apana

Sema ivi nina mark x yenye engine ya 4Gr

Kumbuka Crown na mark x zinatumia spare sawa yaani kuanzia engine mpaka gia box zote zinatumia sawa

Tofauti ya Mark x na Crown inakuja kwenye muundo wa body tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…