Uko sahihi kabisa. Fuga 350 na 280HP zake linatoka 0 mpaka 180kmph ndani ya sekunde 30. Likifika hapo ECU inazuia mafuta yasiingie kwenye cylinder so hata ukaze tako vipi inakuwa ni kama hujakanyaga mafuta - hiyo ndio electronic limiter.
Hiyo gari huwa inagusa 180kmph at 5000rpm ukiwa 4th gear na inamaintain 180kmph at 4000rpm at 5th gear.
Kama barabara inaruhusu, ki VW cha cc1800 kitakuja kikufikie na kikupite huku wewe uko stuck at 180 na huna la kufanya.
Yana mwendo sawa, engine zake zina nguvu sana, zina acceleration ya ajabu, ila hazifui dafu mbele ya mzungu mwenye turbocharged 3000cc au zaidi.
View attachment 2183503