Snow mode inapunguza throttle response na kubadilisha shift points za auto transmission ipadilishe gia mapema - kwahiyo matokeo yake inakuwa kama umekanyaga mafuta kidogo so power inatumika kidogo na gari inawahi kubadili gia so RPM muda mwingi zinakuwa chini, thereby mafuta yanatumika kidogo zaidi kuliko ukitegemea kubalance mguu wako wa kulia kwenye mafuta.
Snow mode kwenye foleni bampa to bampa ambapo umesimama tu effect yake ni ndogo, na ukiweka snow mode ukakanyaga kwa nguvu kuaccelerate pia inakuwa haina msaada sana.