m_kishuri
JF-Expert Member
- Jan 27, 2010
- 1,484
- 372
Ni kweli mwanajamii na hasa wale wanawake wanaojisafisha sana sehemu za starehe huwa sio watamu Kabisaaa kwani huwa wanaondoa ule uhalisia Wa sehemu yenyewe (mnato),maana wengine wanaingiza kidole mpaka ndani kabisa karibu na Kizazi wakidhani ndio usafi Kumbe wanaharibu mazingira.
Mkuu, hii yako kiboko. Unanikumbusha kauli ya bwana mkubwa Napoleoni kwa mke wake Josephine "DON'T WASH, I AM COMING HOME". :mwaaah: