Nina kamba hapa na kiti. Nikuletee au utatumia tai?aiseeee pigeni kura faster faster kabla sijachukua maamuzi ya kujinyonga
Asante kaka, nimempigia Lucy nimeongea nae kwa kirefu sana. Nitakuchek kwa faragha. Ila shusha pumzi NITAKUSAIDIA.hzo 0656431142
ushauri ni mzuri ila mm naomba upige kura..moja usifanye maamuzi ukiwa Na hasira..pili usimuache ikiwa unahisi moyo wako bado unamuhitaji Na tatu kaeni chini Na huyo mpnz umwambie nini kinakusumbua Na ukishamckia bac fanya maamuzi.
ushauri ni mzuri ila mm naomba upige kura