Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

Angekua na nia njema au kanunua mwenyewe asingekuongopea mara oooh haina chaji na blah blah nyngne
 
Kama kahongwa c8 ni vema ukamuhonga c10 utakuwa umefunga kazi na mshkaji ataonekana bonge la boya
 
..moja usifanye maamuzi ukiwa Na hasira..pili usimuache ikiwa unahisi moyo wako bado unamuhitaji Na tatu kaeni chini Na huyo mpnz umwambie nini kinakusumbua Na ukishamckia bac fanya maamuzi.
 
..moja usifanye maamuzi ukiwa Na hasira..pili usimuache ikiwa unahisi moyo wako bado unamuhitaji Na tatu kaeni chini Na huyo mpnz umwambie nini kinakusumbua Na ukishamckia bac fanya maamuzi.
ushauri ni mzuri ila mm naomba upige kura
 
Back
Top Bottom