Jamani eeh, ninaombeni msaada wa haraka

Uuwi kitambulisho changu cha kura tangu jana nakitafuta ndo nimekipata now.Hivi nikipiga kura itakuwa haijaaribika kweli?
 
Azima sim take hiyo download application INA itwa mobile spy hiyo itakupa ukweli wrote
Itakurekodia sauti anazo piga na kipigiwa ,SMS zote picha kila anacho kifanya itakurekodia were uta zijua hizo taarifa kwenye cm yako kiulain hapo utajua nimwaminif au laa
 
Haya mapenzi haya....yatatuua.
 
sasa hiyo App ndo inafanya kazi vipi mkuu, embu nifafanulie vizuri
na je hyo App inadownloadiwq kwenye simu yake au yangu?
 
Hiyo ap unaidanload kwenye sim take itakuambia uweke imel yako ukisha maliza iyo application haita onekana kwake ila akipiga sim aukupigiwa saut inajirecod inaingia kwenye imel yako sim zote alizo pigiwa alizo pigs meeseg zote alizotu kawaifa wats up pocha , iwe Facebook yan kiufup chochote atakacho kifanya kwenye sim take wewe utajua
 
nmeiona inaitwa SPYMOBILE na je hiyo App nikishaiweka kwenye simu yake na mm pia ntatakiwa kuwa nayo hyo App au?
 
Mzee ulikuwa wachek kitu cha livescore......kama ulibeti vile ha ha ha ha mtu akianza kuwa muongo muongo hata vitu vidogo jua kwamba hafai huyo demu tayari nishaona Hana jema chunguza polepole zaidi but jua utafikia conclusion kama yangu tu.....Tchao
 
yani kwa jinsi nilivyokuwa disapointment siku hiyo hata utamu wa mechi ya Barcelona Vs A.madrid sikuiEnjoy
 
Mzee ulikuwa wachek kitu cha livescore......kama ulibeti vile ha ha ha ha mtu akianza kuwa muongo muongo hata vitu vidogo jua kwamba hafai huyo demu tayari nishaona Hana jema chunguza polepole zaidi but jua utafikia conclusion kama yangu tu.....Tchao
kwani na wewe mkuu ulipatwa na nini?
 
Mzee ulikuwa wachek kitu cha livescore......kama ulibeti vile ha ha ha ha mtu akianza kuwa muongo muongo hata vitu vidogo jua kwamba hafai huyo demu tayari nishaona Hana jema chunguza polepole zaidi but jua utafikia conclusion kama yangu tu.....Tchao
Wer hauta kuwanayo utakuwa unaingia kwenye imel itakuletea linki ukiingia unaona kila kitu
 
S5 yako vip mwambie arudishe? Au atasema urudishe utamu wake wa papunch
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…