Executivesister
JF-Expert Member
- Aug 7, 2012
- 514
- 594
Uuwi kitambulisho changu cha kura tangu jana nakitafuta ndo nimekipata now.Hivi nikipiga kura itakuwa haijaaribika kweli?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Azima sim take hiyo download application INA itwa mobile spy hiyo itakupa ukweli wroteNina mpenzi wangu ambaye nimedumu naye muda mrefu sana na nilikuwa na malengo ya kumuoa kati ya mwakani au mwaka unaofwata ila kuna tatizo limenitokea muda huu hapa na hilo tatizo ndo limenifanya niandike uzi huu mufa huu nikiwa na ghadhabu na huku nikiwa naomba ushauri pia.
Ishu yenyewe iko hivi:
Baada ya kuwa naye nikagundua kuwa bado ana mawasiliano na Ex boyfriend wake wake. Na nilipomuuliza akaniambia kuwa bado wanawasiliana ila walishaachana tokea kitambo na huyo jamaa kwanza kashaoa.
Akadai kuwa kama simuamuni basi anaweza pia akanikutanisha naye ilinidhibitishe.Mimi nkamwambia haina haja yakunikutanisha naye coz ninakuamini na hiyo siku tulivyokutana jamaa alikuwa ana simu ya tekno c8(hiyo ilikuwa ktk kumdadisi huyo jamaa) basi baada ya hapo maisha yakaendelea kama kawaida.
Kuna simu huyu mpenzi wangu akaniambia kuwa anatamani kuwa sana kutumia tekno c8 mimi nikamwambia kuwa nikiwa fresh basi nitakununulia.. huku yeye kwa wakati huo anatumia tekno s5.
Basi siku zikaenda weee,ila hivi juzi juzi tukiwa tumepanga kukutana basi demu akawa anakuja na simu yake ndogo ila nikimuuliza anasema iko kwenye charge wakati unakuta muda huo huo nimetoka kuchat naye whatsApp,
hilo mimi wala sikulitilia shaka.
Sasa wakati huu nmetoka kuonana naye hapa akaja na simu yake kubwa hivyo nkamuomba niingie mara moja LiveScore niangalia mechi za UEFA zinaanza muda gani. Mara heeeee! nashangaa anatumia Tecno c8 pale pale nkashtuka sana na kumwambia hii simu umeipata wapi na mbona hujaniambia kuwa unayo? Akasema alisahau kunijulisha.
Sasa nmevuta picha weee nimeona hapa huenda yule Ex wake ndo atakuwa amempa hivyo nmejawa na hasira hapaaa mpaka nataka kupasuka maana nikiunganisha matukio naona kabisa kama huenda hii simu atakuwa amehongwa na huyo Ex wake.
Wadau naombeni ushauri wa chapu chapu ili nichukue hatua ya haraka sana kwa huyu girlfriend wangu.
Sasa napiga kura wanaosema nimuache waseme MUACHE na waosema niendelee waseme USIMUACHE.
Ntahesabu kura zenu wadau na wataocomment kwa wingi ndo ushauri nitakaochukua huo huo.
Sorry kwa uandishi mbovu coz nimeandika hapa nikiwa na jazba balaaaa.
Nina mpenzi wangu ambaye nimedumu naye muda mrefu sana na nilikuwa na malengo ya kumuoa kati ya mwakani au mwaka unaofwata ila kuna tatizo limenitokea muda huu hapa na hilo tatizo ndo limenifanya niandike uzi huu mufa huu nikiwa na ghadhabu na huku nikiwa naomba ushauri pia.
Ishu yenyewe iko hivi:
Baada ya kuwa naye nikagundua kuwa bado ana mawasiliano na Ex boyfriend wake wake. Na nilipomuuliza akaniambia kuwa bado wanawasiliana ila walishaachana tokea kitambo na huyo jamaa kwanza kashaoa.
Akadai kuwa kama simuamuni basi anaweza pia akanikutanisha naye ilinidhibitishe.Mimi nkamwambia haina haja yakunikutanisha naye coz ninakuamini na hiyo siku tulivyokutana jamaa alikuwa ana simu ya tekno c8(hiyo ilikuwa ktk kumdadisi huyo jamaa) basi baada ya hapo maisha yakaendelea kama kawaida.
Kuna simu huyu mpenzi wangu akaniambia kuwa anatamani kuwa sana kutumia tekno c8 mimi nikamwambia kuwa nikiwa fresh basi nitakununulia.. huku yeye kwa wakati huo anatumia tekno s5.
Basi siku zikaenda weee,ila hivi juzi juzi tukiwa tumepanga kukutana basi demu akawa anakuja na simu yake ndogo ila nikimuuliza anasema iko kwenye charge wakati unakuta muda huo huo nimetoka kuchat naye whatsApp,
hilo mimi wala sikulitilia shaka.
Sasa wakati huu nmetoka kuonana naye hapa akaja na simu yake kubwa hivyo nkamuomba niingie mara moja LiveScore niangalia mechi za UEFA zinaanza muda gani. Mara heeeee! nashangaa anatumia Tecno c8 pale pale nkashtuka sana na kumwambia hii simu umeipata wapi na mbona hujaniambia kuwa unayo? Akasema alisahau kunijulisha.
Sasa nmevuta picha weee nimeona hapa huenda yule Ex wake ndo atakuwa amempa hivyo nmejawa na hasira hapaaa mpaka nataka kupasuka maana nikiunganisha matukio naona kabisa kama huenda hii simu atakuwa amehongwa na huyo Ex wake.
Wadau naombeni ushauri wa chapu chapu ili nichukue hatua ya haraka sana kwa huyu girlfriend wangu.
Sasa napiga kura wanaosema nimuache waseme MUACHE na waosema niendelee waseme USIMUACHE.
Ntahesabu kura zenu wadau na wataocomment kwa wingi ndo ushauri nitakaochukua huo huo.
Sorry kwa uandishi mbovu coz nimeandika hapa nikiwa na jazba balaaaa.
sasa hiyo App ndo inafanya kazi vipi mkuu, embu nifafanulie vizuriAzima sim take hiyo download application INA itwa mobile spy hiyo itakupa ukweli wrote
Itakurekodia sauti anazo piga na kipigiwa ,SMS zote picha kila anacho kifanya itakurekodia were uta zijua hizo taarifa kwenye cm yako kiulain hapo utajua nimwaminif au laa
nmeiona inaitwa SPYMOBILE na je hiyo App nikishaiweka kwenye simu yake na mm pia ntatakiwa kuwa nayo hyo App au?Hiyo ap unaidanload kwenye sim take itakuambia uweke imel yako ukisha maliza iyo application haita onekana kwake ila akipiga sim aukupigiwa saut inajirecod inaingia kwenye imel yako sim zote alizo pigiwa alizo pigs meeseg zote alizotu kawaifa wats up pocha , iwe Facebook yan kiufup chochote atakacho kifanya kwenye sim take wewe utajua
yani kwa jinsi nilivyokuwa disapointment siku hiyo hata utamu wa mechi ya Barcelona Vs A.madrid sikuiEnjoyMzee ulikuwa wachek kitu cha livescore......kama ulibeti vile ha ha ha ha mtu akianza kuwa muongo muongo hata vitu vidogo jua kwamba hafai huyo demu tayari nishaona Hana jema chunguza polepole zaidi but jua utafikia conclusion kama yangu tu.....Tchao
kwani na wewe mkuu ulipatwa na nini?Mzee ulikuwa wachek kitu cha livescore......kama ulibeti vile ha ha ha ha mtu akianza kuwa muongo muongo hata vitu vidogo jua kwamba hafai huyo demu tayari nishaona Hana jema chunguza polepole zaidi but jua utafikia conclusion kama yangu tu.....Tchao
Wer hauta kuwanayo utakuwa unaingia kwenye imel itakuletea linki ukiingia unaona kila kituMzee ulikuwa wachek kitu cha livescore......kama ulibeti vile ha ha ha ha mtu akianza kuwa muongo muongo hata vitu vidogo jua kwamba hafai huyo demu tayari nishaona Hana jema chunguza polepole zaidi but jua utafikia conclusion kama yangu tu.....Tchao
Emel gmailna nnaweka imei au imel?
Tuapply usimamizi wa kura, jecha naniKupiga kura mwisho saa ngapi?