Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ila naona kura yake imeharibika maana kaongeza maneno mengine zaidi ya maelekezoewaaa! ww umekuwa wa kwanza kupiga kura
Kasema S5Sasa wewe uliwezaje kumnunulia ki C5 yeye mwenyewe ashindwe kujinunulia au wenzako washindwe kumnunulia C8?
Fikiri kabla hujajibu.
Jecha ameshafanya yake... uchaguz utarudiwaBHAAAAAAAASSSSSSS
muda wa kupiga kura umeshaisha maana nilisema mwisho itakuwa ni saa 00:00
hivyo kura ya KUACHA imekuwa ni nyingi kuliko USIMUACHE.
hivyo nmeamua KUMUACHA hvyo kwa sasa niko SINGLE hivyo mnakaribishwa wadada kuomba ajira kabla nafasi hazijajaa. maana mimi huwa sikawi kupata demu mpya coz najua kuchungulia fursa