Huu ni msimu wa maua ya miembe. Imetoa maua sana huku kwetu. Uzoefu unaonyesha kuwa maua mengi huwa yanadondoka/kupukutika na hivyo kutoshika kutoa matunda ya maembe au yakishika, viembe vidogo huwa vinapukutika chini.
Sasa SCIENCE ni hii: Nimekuta mtu yuko very busy shambani kwake anagongelea misumari kwenye shina la miti hiyo ya miembe. Nikamuuliza ina maana gani, akasema hii inazuia mau kupukutika na viembe vidogo kuanguka/kupukutika.
Mwenye uzoefu anieleze
(definitely nitarudi kuona matokeo)