Yeaaah imani yaweza kuhamisha milima ....the way u believe.....is where it will beHuu ni msimu wa maua ya miembe. Imetoa maua sana huku kwetu. Uzoefu unaonyesha kuwa maua mengi huwa yanadondoka/kupukutika na hivyo kutoshika kutoa matunda ya maembe au yakishika, viembe vidogo huwa vinapukutika chini.
Sasa SCIENCE ni hii: Nimekuta mtu yuko very bussy shambani kwake anagongelea misumari kwenye shina la miti hiyo ya miembe. Nikamuuliza ina maana gani, akasema hii inazuia mau kupukutika na viembe vidogo kuanguka/kupukutika.
Mwenye uzoefu anieleze
(definitely nitarudi kuona matokeo)
does it work?.huwa tunafunga kamba......ili kuzuia
Yeaaah imani yaweza kuhamisha milima ....the way u believe.....is where it will be
Sisi kwetu kwenye miparachichi inayopukutisha .....huwa tunafunga kamba......ili kuzuia
Ni imani tu watu waliyojijengea kama vile kufunga magunzi kwenye mpapai usiwe dume.Huu ni msimu wa maua ya miembe. Imetoa maua sana huku kwetu. Uzoefu unaonyesha kuwa maua mengi huwa yanadondoka/kupukutika na hivyo kutoshika kutoa matunda ya maembe au yakishika, viembe vidogo huwa vinapukutika chini.
Sasa SCIENCE ni hii: Nimekuta mtu yuko very busy shambani kwake anagongelea misumari kwenye shina la miti hiyo ya miembe. Nikamuuliza ina maana gani, akasema hii inazuia mau kupukutika na viembe vidogo kuanguka/kupukutika.
Mwenye uzoefu anieleze
(definitely nitarudi kuona matokeo)
Inafanya kazi, Ilianza kama imani lakini science ikaja ku-prove baada ya muda. Hii inazidi kuthibitisha kuwa science ipo nyuma kwenye mambo mengi.Huu ni msimu wa maua ya miembe. Imetoa maua sana huku kwetu. Uzoefu unaonyesha kuwa maua mengi huwa yanadondoka/kupukutika na hivyo kutoshika kutoa matunda ya maembe au yakishika, viembe vidogo huwa vinapukutika chini.
Sasa SCIENCE ni hii: Nimekuta mtu yuko very busy shambani kwake anagongelea misumari kwenye shina la miti hiyo ya miembe. Nikamuuliza ina maana gani, akasema hii inazuia mau kupukutika na viembe vidogo kuanguka/kupukutika.
Mwenye uzoefu anieleze
(definitely nitarudi kuona matokeo)
PERPETUATION OF THE SPECIES, LOOKS A SOUND SCIENTIFIC REASONING/EXPLANATION. Common observation during draught plants flower while they are still young so as to make sure they" give birth" to offsprings so as to preserve the species in such a harsh condition...angalia mahindi wakati wa ukame, yanatoa mbelewele vikiwa vichanga vikitamani kutengeneza mbegu ingawa vingine huwa havifiki huko.natishia uwezo wake wa kuweza kuendeleza jamii yake