Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Daaah nyota kwa vitoto inasaidia nini sasa ???Aisee nyota yako naiona hapa inang'aaa sana
Inaonesha muda si mrefu utapata mtoto wa kikeeeDaaah nyota kwa vitoto inasaidia nini sasa ???
Nimegundua watoto wanakupenda sana, njia nzuri kuwapata mama zao.Daaah RRONDO unanione bure hapa!
Yaani mimi nimefanana na waarabu mzee ???
Aaaah na uzee huu niongeze kitoto tena ???Inaonesha muda si mrefu utapata mtoto wa kikeee
Ni baraka kubwaaDaaah nyota kwa vitoto inasaidia nini sasa ???
Bwahaha,Nimegundua watoto wanakupenda sana, njia nzuri kuwapata mama zao.
Kama ni Baraka basi napokea mkuu wanguNi baraka kubwaa
Hahaha umezeeka kwan mpaka babu hana nguvu sku hizi anapalaza juuu juuu hawezi kuzama shimoni akiwa strongAaaah na uzee huu niongeze kitoto tena ???
Hahahahaha, no way....
Huwa inafanyakazi yenyeweBwahaha,
RRONDO hii tactic huwa siitumii kabisa!
Mkuu weka hapa sura yako tuifanyie tathmini.Ubaguzi ni kitu kibaya sana,
Ubaguzi wa aina yoyote ile siyo mzuri: Iko hivi, majuzi nimeenda kwenye Super Market kununua baadhi ya mahitaji sasa wing niliyokuwepo mimi nikakutana na familia fulani hivi ya Waarabu wanananua vitu vyao, hivyo wala hatukusalimiana kwasababu hatufahamiani.
Sasa muda wa kulipa umefika tukakutana nao tena, wenyewe wakiwa wamebeba katoto kadogo kakike kama kama miezi 8 hivi. Nikaweka baada ya vitu vyangu pale nikawa nasubiri nifanyiwe mahesabu niondoke zangu. Katika kupepese macho huku na kule nikakuta kale katoto kananingalia sana usoni, mimi nikatabasamu tu wacha kaanze kucheka kwa nguvu.
Wale waarabu wakaanza kushangaa nao, wakawa wanatania kwamba wewe unamfahamu huyu. wakaamua kukaweka chini. Kakawa kanapiga miguu kama kanataka kuruka huku kananinyooshea mikono nikabebe.
Nikakabeba tu, kakafurahi kweli hako, sasa ile naanza kukaepeleka kwa baba yake hicho kilio chake kalichokishusha ova mtu mzima. Nikabaki tu nacheka maana wiki lilipita nimekutana na matatu kama haya na vitoto vidogo.
Malezi ni magumu sana aiseeeHahaha umezeeka kwan mpaka babu hana nguvu sku hizi anapalaza juuu juuu hawezi kuzama shimoni akiwa strong
You will be very disappointed....Mkuu weka hapa sura yako tuifanyie tathmini.
HahahahahaHuwa inafanyakazi yenyewe
Hahahahaha
Especially ukiirudiarudia.Hahahahaha