Jamani hawa watoto wananiona mimi kama kikatuni fulani

Jamani hawa watoto wananiona mimi kama kikatuni fulani

Bora wewe wanacheka wakikuona. kuna sisi wenzio watoto wakigoma kula wanaambiwa "nitamuita kana", mtoto anaanza kula mwenyewe!

Sura ngumu kama ugoko wa Nsajigwa. A face that only a mother can love!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Haha...nimecheka sana
 
Bora wewe wanacheka wakikuona. kuna sisi wenzio watoto wakigoma kula wanaambiwa "nitamuita kana", mtoto anaanza kula mwenyewe!

Sura ngumu kama ugoko wa Nsajigwa. A face that only a mother can love!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂eti nsajigwa. Haya maneno mnatoaga wapi
 
Ubaguzi ni kitu kibaya sana,
Ubaguzi wa aina yoyote ile siyo mzuri: Iko hivi, majuzi nimeenda kwenye Super Market kununua baadhi ya mahitaji sasa wing niliyokuwepo mimi nikakutana na familia fulani hivi ya Waarabu wanananua vitu vyao, hivyo wala hatukusalimiana kwasababu hatufahamiani.

Sasa muda wa kulipa umefika tukakutana nao tena, wenyewe wakiwa wamebeba katoto kadogo kakike kama kama miezi 8 hivi. Nikaweka baada ya vitu vyangu pale nikawa nasubiri nifanyiwe mahesabu niondoke zangu. Katika kupepese macho huku na kule nikakuta kale katoto kananingalia sana usoni, mimi nikatabasamu tu wacha kaanze kucheka kwa nguvu.

Wale waarabu wakaanza kushangaa nao, wakawa wanatania kwamba wewe unamfahamu huyu. wakaamua kukaweka chini. Kakawa kanapiga miguu kama kanataka kuruka huku kananinyooshea mikono nikabebe.

Nikakabeba tu, kakafurahi kweli hako, sasa ile naanza kukaepeleka kwa baba yake hicho kilio chake kalichokishusha ova mtu mzima. Nikabaki tu nacheka maana wiki lilipita nimekutana na matatu kama haya na vitoto vidogo.
No baraka hiyo
 
Back
Top Bottom