Jimmie Gatsby
JF-Expert Member
- Mar 7, 2013
- 3,587
- 7,272
Ooowh kulia mtoto kulikoni
wanalia yaani wanamng'ang'ania hawataki warudishwe kwa wazazi wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ooowh kulia mtoto kulikoni
Duu noma sanawanalia yaani wanamng'ang'ania hawataki warudishwe kwa wazazi wao
Duu!! Hata mimi nikafikiri nimepatwa na Deja vu, kumbe ishaletwaga maana na hisi kama habari hii nshaiona mahali .Ulishawahiki kuileta humu mkuu au umeamua uirudishe tena?
Duu!! Hata mimi nikafikiri nimepatwa na Deja vu, kumbe ishaletwaga maana na hisi kama habari hii nshaiona mahali .
Umenifanya niangalie profile yake ni kweli aliuleta ila upo tofauti kidogo ingawa unaelezea hayo hayo kupendwa na watoto.Jamaa anasema hii imetokea juzi juzi eti
Lakini ni hii hii bahati mbaya kafunga profile yake ningeenda kumletea uzi wake
kabisaKupendwa na mtoto raha unajihisi wa kipekee
We ni le mutuz ?Ubaguzi ni kitu kibaya sana,
Ubaguzi wa aina yoyote ile siyo mzuri: Iko hivi, majuzi nimeenda kwenye Super Market kununua baadhi ya mahitaji sasa wing niliyokuwepo mimi nikakutana na familia fulani hivi ya Waarabu wanananua vitu vyao, hivyo wala hatukusalimiana kwasababu hatufahamiani.
Sasa muda wa kulipa umefika tukakutana nao tena, wenyewe wakiwa wamebeba katoto kadogo kakike kama kama miezi 8 hivi. Nikaweka baada ya vitu vyangu pale nikawa nasubiri nifanyiwe mahesabu niondoke zangu. Katika kupepese macho huku na kule nikakuta kale katoto kananingalia sana usoni, mimi nikatabasamu tu wacha kaanze kucheka kwa nguvu.
Wale waarabu wakaanza kushangaa nao, wakawa wanatania kwamba wewe unamfahamu huyu. wakaamua kukaweka chini. Kakawa kanapiga miguu kama kanataka kuruka huku kananinyooshea mikono nikabebe.
Nikakabeba tu, kakafurahi kweli hako, sasa ile naanza kukaepeleka kwa baba yake hicho kilio chake kalichokishusha ova mtu mzima. Nikabaki tu nacheka maana wiki lilipita nimekutana na matatu kama haya na vitoto vidogo.
Haina haja ya kupiga majungu, uzi wenyewe ni huu hapa:Jamaa anasema hii imetokea juzi juzi eti
Lakini ni hii hii bahati mbaya kafunga profile yake ningeenda kumletea uzi wake
Why go through all that trouble aisee ???Umenifanya niangalie profile yake ni kweli aliuleta ila upo tofauti kidogo ingawa unaelezea hayo hayo kupendwa na watoto.
Duuh mkuu una kumbu kumbu thread ya jan 25 unaikumbuka hadi leo?
Umenifanya niangalie profile yake ni kweli aliuleta ila upo tofauti kidogo ingawa unaelezea hayo hayo kupendwa na watoto.
Duuh mkuu una kumbu kumbu thread ya jan 25 unaikumbuka hadi leo?
Hapana.We ni le mutuz ?
Haina haja ya kupiga majungu, uzi wenyewe ni huu hapa:
Watato wakiniona huwa wanacheka sana na kunizoea hata niwe mkali
Sasa bado sijafahamu BIG DEAL ni ipi hapa, kwamba mimi kuanzisha uzi wa pili kuhusu watoto au lah...
Nakuheshimu sana mkuu
Narudia tena nakuheshimu sana
Nisamehe kama nimevuka mipaka
Nilihisi ni mjadala wa kawaida tu