Jamani hawa watoto wananiona mimi kama kikatuni fulani

Bora wewe wanacheka wakikuona. kuna sisi wenzio watoto wakigoma kula wanaambiwa "nitamuita kana", mtoto anaanza kula mwenyewe!

Sura ngumu kama ugoko wa Nsajigwa. A face that only a mother can love!

[emoji39][emoji39][emoji39][emoji39]
Haha...nimecheka sana
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚eti nsajigwa. Haya maneno mnatoaga wapi
 
No baraka hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…