Ponjoro namba moja
Member
- Jun 5, 2025
- 45
- 96
Kwa kweli mama alianza vizuri sana.View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
Men derailed her.View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
Machawa wana jibu.Aliona labda nyie wa Tanganyika mnataka kumpanda kichwani Sasa akaona acha aende na nyie perpendicularly
1) Serikali za kiafrika zimejaa mijizi na mijambazi wanajua kupora tu hawajui kuleta maendeleo.Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Jema gani raia wengi wa kawaida wamefanyiwa na serikali ya Samia kuwafanya waridhike wasilalamike ??1) Serikali za kiafrika zimejaa mijizi na mijambazi wanajua kupora tu hawajui kuleta maendeleo.
2) Wananchi wa Afrika hawana jema wao kulalamika ndio wanachokijua hata uwafanyie wema gani hawana shukran.
Ukiwa na jamii hizo mbili👆🏾 lazima ubadilike.
joka la mdimuView attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?
Na in fact,View attachment 3682525

Bosi wako Mwigulu huko yamemkuta,mikwala yote Ile kumbe,kumbe zero.Na in fact,
ana fanya kazi kubwa na nzuri zaidi sasa kwa maslahi mapana ya waTanzania wote.
the country is currently more united, more powerful and more stronger than before because of works done in short period of time by Dr Samia Suluhu Hassan and her serikali sikivu of CCM 🐒