Huihui2
JF-Expert Member
- Jan 5, 2012
- 9,818
- 14,585
Bado yuko vizuri sana kiuchumi kukua, ujenzi wa miundombinu ya barabara, ujenzi wa mahospitali, umaliziaji miradi ya kimkakati na kukua kwa ajira kupitia sekta binafsi. Ataweka rekodi ambayo itawapita watangulizi wake kwa kiasi kikubwaView attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.
Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.
Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).
Tujadiliane kumetokea nini?