Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

Bado yuko vizuri sana kiuchumi kukua, ujenzi wa miundombinu ya barabara, ujenzi wa mahospitali, umaliziaji miradi ya kimkakati na kukua kwa ajira kupitia sekta binafsi. Ataweka rekodi ambayo itawapita watangulizi wake kwa kiasi kikubwa
Barabara zipi zimejengwa?? Hizo zilizopo tu zimemshinda hata kuzikarabati mashimo barabarani kama mahandaki kila mahali.
 
Aliona labda nyie wa Tanganyika mnataka kumpanda kichwani Sasa akaona acha aende na nyie perpendicularly
Kuna was... waliona kuwa mama ni size yao akaamua kuwa mkali namppngeza sana mama samia kuamua kuwakata ngebe za kijinga

USSR
 
Kwa sababu mwanzoni alikuwa nje ya mchezo alivyoingia akiwa ari na nguvu akata kuonyesha madoido sasa ngoma imekolea ameng'amua staili ya kucheza kwa kujilinda asitolewe mchezoni. Ngoma ni tamu ukiingia hutamani kutoka.
 
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.

Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.

Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).

Tujadiliane kumetokea nini?
CCM mtandao.
By Humphrey Polepole.
 
USHETANI WA KULA MALI ZA TANGANYIKA! BABA YAKE ALIMKATAZA AKAONA AMUUE MZEE WETU RUKSA
 
Barabara zipi zimejengwa?? Hizo zilizopo tu zimemshinda hata kuzikarabati mashimo barabarani kama mahandaki kila mahali.
Kwani unaishi wapi? Au wewe ni kipofu?

Tangu Machi 2021, Serikali ya Awamu ya Sita chini ya Rais Samia imekamilisha zaidi ya kilomita 1,500 za barabara kuu na za mikoa (TANROADS) na zaidi ya kilomita 1,300 za mitaa (TARURA).

Barabara zilizokamilika ni pamoja na Kidatu–Ifakara (Morogoro), Mbinga–Mbamba Bay (Ruvuma), Sanzate–Nata (Mara), Koga–Sikonge (Tabora), na Mtwara–Mnivata.

Barabara zinazoendelea kujengwa ni Barabara ya Mzunguko Dodoma (km 112), Igawa–Songwe–Tunduma (njia nne), Kibaha–Chalinze–Morogoro, Tarime–Mugumu, Makongolosi–Rungwa, miundombinu ya BRT Dar es Salaam, na miradi ya miji ya TACTIC.
 
Chadema walishindwa kwenda nae vizuri, walimuhisi ni dhaifu kwa hiyo wakaone watumie njie ya kumpiga pressure kubwa kumbe ndio waliharibu muelekeo.
Yeye aliishia ku panic akaanza kusikiliza ushauri wa watu amabao hawana nia njema na Taifa.
Tatizo si Chadema. kwani walikuwako huko JK akimnadi nje ya utaratibu kwa jina la mgombea wa CCM huko Mwanza.
Tusijivue uhusika wa matatizo yetu ndani ya CCM.
 
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.

Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.

Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).

Tujadiliane kumetokea nini?
Vyombo vyote vya ulinzi na usalama ni mali ya ccm " chacha mwita"
 
Back
Top Bottom