Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

..kosa lake ni kuachana na 4R na kurudisha siasa za kikatili za mtangulizi wake.

..hivi kwa mfano, Mzee Mwinyi angeendeleza misimamo ya migumu ya kiuchumi ya Mwalimu Nyerere, nchi ingekuwa wapi? Wananchi wangemuelewa?

..kila Rais anapoingia wananchi humtarajia atutue tatizo linaloisibu nchi kwa wakati husika. Rais au kiongozi yoyote hatarajiwi apewe kiti halafu mambo yaharibike kuliko alivyoyakuta.

..wananchi walitaka na walitarajia Mama Samia atakomesha ukatili wa dola, na sio kuuzidisha.
Sasa hivi kasema mwenyewe, ni chura kiziwi!
Hasikii haambiliki!
 
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.

Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.

Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).

Tujadiliane kumetokea nini?
Never underestimate the stupidity of stupid people
 
..Vivyo hivyo kwa Samia Suluhu. Haikutarajiwa kwamba atasababisha madhara na mauaji makubwa kuliko kipindi cha Magufuli. Wananchi walitarajia Mama atakomesha utekaji, utesaji, na mauaji, na sio kuzidisha udhalimu huo.
Uko sahihi...

Ila viongozi wengi wanakujaga na idealistic view ya namna ya kuongoza. Kwa mfano, kiongozi anaweza kuamua, acheni wapinzani wafanye siasa, System ikamuonya; joto likipanda hutaweza kuvumilia, kiongozi akasema waacheni. Joto likipanda, atarudi kulekule kuomba wakazime moto, na ndio hapo anakuwa amelose control na power.
 
hoja yako imenifikirisha sana. Iko hivi....

Kiongozi na System hawapaswi kuwa na mawazo, mipango, au mitizamo, kwamba waruhusu, au wasiruhusu, wapinzani kufanya siasa.

Na kibaya zaidi, ni kudhani kwamba "inaswihi," Mwenyekiti wa chama kimoja cha siasa kukaa vikao, na kupanga mipango, na System kuhusu namna ya kuwadhibiti washindani wake.
 
Ndio maana nikasema ni "Realities of governing"

Let's take an example and play devil's advocate kidogo

Zanzibar, Arusha & Kilimanjaro ndio malango ya utalii Tanzania. Hali za kisiasa za hayo maeneo zina impact ya moja kwa moja kwenye uchumi na forex ya nchi. Yanapigwa maandamano(ni haki kabisa) mfululizo kama yanayoendelea Paris, after 2 weeks unaletewa briefing ya impact kwenye tourism; unafanyaje? Utauliza tu what should we do, ndio wanaingia sasa watu wa System na option zao za kishetani

Nakumbuka kesi ya Lusako na Mukandala(VC UDSM), Profesa alimwambia kijana najua una haki, lakini "mjini" wananiuliza Chuo kimekushinda tumpe mwingine 😂😂😂
 
..Excellent.

..Nimeupenda sana mfano wako.

..kwenye suala la maandamano unatakiwa u-deal na aliyefanya maamuzi mabaya na kupelekea wananchi kuandamana.

..Unakumbuka maandamano ya Wamaasai kule Ngorongoro? Si yalitokana na maamuzi ya hovyo hovyo ya serikali?

..Baada ya Ngorongoro yametokea maandamano mengine OCT 29 na mauaji ya kutisha ya kihistoria. Je, ni nani aliyefanya maamuzi yaliyowajaza watu hasira mpaka wakaingia mtaani?

..Ni watawala na serikali ileile ndio wamesababisha maandamano Ngorongoro, na maandamano ya OCT 29.

..Tufike mahali watawala wetu wanaotokana na CCM watambue kwamba wanacheza na BOMU na siku likilipuka hakuna atakayekuwa salama.

..Na watu wa System watumie ushawishi wao kuwaeleza watawala kwamba mambo wanaendesha nchi ktk namna ambayo ni hatarishi kwa kila mmoja wetu.

..System inatakiwa iwaelekeze wanasiasa wapi ni salama kwa kupita huku wakiweka mbele maslahi ya NCHI.
 
Nyumba ikianza kuwaka moto, kuna mambo mengi ungeweza kufanya moto usianze, ila muda huo wewe utafocus ni kuzima moto.

We still have a long way to go. Nchi masikini hizi, watu wengi ni selfish, wanaangalia maslahi yao tu. Wanachowaza wao ni kupata power na keeping power. Hata kesho wakija CHADEMA, kina Mafwele watakuwepo tu. Zambia ni mfano mzuri
 
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.

Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.

Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).

Tujadiliane kumetokea nini?
Washauri ndio shida sijui Haji sijui nani nahisi
 
Nyumba ikianza kuwaka moto, kuna mambo mengi ungeweza kufanya moto usianze, ila muda huo wewe utafocus ni kuzima moto.

We still have a long way to go. Nchi masikini hizi, watu wengi ni selfish, wanaangalia maslahi yao tu. Wanachowaza wao ni kupata power na keeping power. Hata kesho wakija CHADEMA, kina Mafwele watakuwepo tu. Zambia ni mfano mzuri

..hoja yangu ni kwamba dont start the fire.

..mambo haya ya hovyo hovyo yalishika kasi toka 2016.

..lakini sisi Watanzania tulibweteka, tukiamini kwamba MUNGU anatupenda kuliko wanadamu wengine. kwamba hata watawala wakifanya mambo ya hovyo tutaendelea kuwa salama.

..Ni wapi ambapo chaguzi zinavurugwa tena, na tena, na tena, halafu nchi ikadumu ktk amani na utulivu?

..Ccm waache kuzidanganya nafsi zao. Na vyombo vya dola, hiyo mnayoita System, viwaelekeze watawala ktk njia sahihi, ya HAKI.
 
Tatizo ni kwamba watu wanaofaidika hawana interest na kubadilisha the status quo. Dola kwa asili yake, inapenda ubabe(Magu alisema mhimili uliojichimbia zaidi). Hawana interest na moderation; maana haina faida yoyote kwao.

Civil servants sasa hivi ni mabilionea wa kutupwa, kwanini wakate mti unaowapa matunda? Na kila siku mti ukiwa unatishiwa, watazidi kuongezea ulinzi tu.

Watanzania tumekubali kutawaliwa, mpaka siku tutasema imetosha, wataendelea kutunyoosha
 
..matendo yanayoendelea yanaweza kusababisha nchi ikaparaganyika, na wao kupoteza mali zao.

..ningekuwa mshauri wao ningewaambia waachane kabisa na mambo ya kuteka, kutesa, na kuuwa.
 
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.

Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.

Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).

Tujadiliane kumetokea nini?
Alianza vizuri lini na wapi kilaza huyu?
 
..matendo yanayoendelea yanaweza kusababisha nchi ikaparaganyika, na wao kupoteza mali zao.

..ningekuwa mshauri wao ningewaambia waachane kabisa na mambo ya kuteka, kutesa, na kuuwa.
The bad and good thing is wanajua.

Tatizo power is addictive, and someone said it well... being out of power sucks!

Ukiongea nao privately, wote wanasema we have big problems, ila wakirudi ndani wanafanya mambo mengine kabisa.

We have a long way to go
 
Back
Top Bottom