Jamani hebu tujadiliane, Mama Samia alianza vizuri sana katika utawala wake-what happenned?

Mother kajichoma ,alianza kumu-outshine Magu ..Waliokimbia nchi eti anawarudisha ili mtangulizi wake aonekane chenga🤣🤣

Bora hata kuthamini wanyama kuliko watu wanakupinga..Angewaacha tu ,asingefika hapa.
 
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.

Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.

Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).

Tujadiliane kumetokea nini?
Ndugu ponjoro mpya kwani wewe ndiye Ponjoro. Wa kinondoni?
 
Unajua ukiwa pembeni huwezi kujua nguvu ya urais!Unapoingia madarakani ukala kiapo,ndio unaanza kujua minguvu uliyonayo!Yaani unakuwa unatest button Moja Moja unaona yes,mambo SI ndio haya!Bado msafara Kila unakokwenda,jumlisha misalute kibao!Kama huna kifua Lazima uchanganyikiwe!
Sema mwanzoni unakuwa mkarimu maana bado unakumbuka kale kakiapo!Subiri uzoee,hata katiba iliyokuweka madarakani na kukuapisha unaidharau na kuiona kama "kajitabu"!😀
Tunapolilia katiba mpya,ndio hayo tunamaanisha!Hii ya kwetu imempa nguvu sana Rais mpaka anaidharau hiyo hiyo katiba!
Kama katiba inasema Rais atatekeleza majukumu yake kwa mujibu wa katiba!Hapo hapo inampa Kinga kutoshtakiwa kwa jambo lolote!Tafsiri yake hata akiidharau Katiba,huwezi kumshtaki!
 
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.

Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.

Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).

Tujadiliane kumetokea nini?
Aliye mharibu Samia ni Kikweta kwa tabia zake za kujiona anajua siasa za Tanzania kuliko mtu yeyote. Kipindi chake cha miaka 10 amefeli amekuja kumfelisha na mama wa watu!
 
Walevi wote huanza wakiwa timamu lakini jinsi muda unavyozidi kwenda hupoteza utimamu wao.
 
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.

Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.

Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).

Tujadiliane kumetokea nini?
Kumbato la Chivayo lilimchanganya na akachanganyikiwa kweli. Sasa anaona waTanganyika wote ni mazuzu tu
 
Kwa kweli mama alianza vizuri sana.
Utekaji ukakoma, biashara zikaanza vizuri na freedom ikaanza kuonekana.
TRA wakaacha kuvamia biashara za watu na zile TASK FORCE zao, ambazo kimsingi ulikuwa unyang'anyi wa mali za watu.
Kule Arusha Bureu De Change ziliporwa, hayo yakakoma.
Mimi sikuwa mpenzi sana wa JPM kwa hayo matukio.
Mama alileta faraja.

Du... sasa yaliyoanza kutokea hadi tukaishia Okt29, niseme shetani kawa lose"

Yeye na Magufuli unafikiri nani mzuri?
 
Aliye mharibu Samia ni Kikweta kwa tabia zake za kujiona anajua siasa za Tanzania kuliko mtu yeyote. Kipindi chake cha miaka 10 amefeli amekuja kumfelisha na mama wa watu!
Sio kweli Kwa sababu anayo yafanya huyu mama Kikwete hakuwahi kuyafanya miaka 10 yote ya uraisi wake.
 
Kwa kweli mama alianza vizuri sana.
Utekaji ukakoma, biashara zikaanza vizuri na freedom ikaanza kuonekana.
TRA wakaacha kuvamia biashara za watu na zile TASK FORCE zao, ambazo kimsingi ulikuwa unyang'anyi wa mali za watu.
Kule Arusha Bureu De Change ziliporwa, hayo yakakoma.
Mimi sikuwa mpenzi sana wa JPM kwa hayo matukio.
Mama alileta faraja.

Du... sasa yaliyoanza kutokea hadi tukaishia Okt29, niseme shetani kawa lose"

Chadema walishindwa kwenda nae vizuri, walimuhisi ni dhaifu kwa hiyo wakaone watumie njie ya kumpiga pressure kubwa kumbe ndio waliharibu muelekeo.
Yeye aliishia ku panic akaanza kusikiliza ushauri wa watu amabao hawana nia njema na Taifa.
 
Semeni yote ila nilisema kuna jamaa aliutaka Ubunge mara ya kwanza akaacha UDC ili tu awe Mbunge JPM akaona kitu akamla kichwa fasta kisha akamtupa nje, jamaa akafanya ya kufanya JPM akalala, jamaa akaona huu ndio mlango wa kutokea akapewa Tonge mara ya kwanza akapewa Tonge mara ya pili, nikasema jamaa anautaka Ubunge akishakua Mbunge anataka awe waziri (imekua), sasa kwa wasiojua ni kwamba target ya jamaa ni kua rais kivyovyote vile na yupo tayari kumpoteza mtu yeyote ataetaka kumzuia asifike pale juu, namna pekee ya kumzuia jamaa ni kumuwahi mapema, jamaa hana mswalie Mtume, narudia target ya jamaa huyo ni kua rais kivyovyote hapo anasubiria muda tu usogee na yeyote akifanya fyoko anapita nae, nimemaliza.
 
Pia tamaa ya mali iliyoambatana na ushirikina ilimuwehusha, kumbuka kauli ya Mwl. Nyerere kuhusu kula nyama ya mtu na kunywa damu yake, ukishaonja huwezi kuacha
 
Tamaa ya madaraka tu yani alitakiwa amalize miaka iliyobakia kwa kutekeleza ile falsafa ya 4r kikamilifu afu apite hivyi.
 
View attachment 3682525
Mama Samia akiapishwa 2021.

Kati ya mambo ninayojiuliza kila siku ni hili,what happened to Mama Samia katika utawala wake?
Baada ya kifo cha Magufuli , tukubaliane, there was a sigh of relief!
Wengi walianza kumkubali Mama Samia kama a new chapter, katika Tanzanian politics.

Na alianza na policy ya 4R (Reconciliation, Resilience, Reforms, and Rebuilding).

Tujadiliane kumetokea nini?
Kuanza vizuri na vibaya kukoje?
 
Semeni yote ila nilisema kuna jamaa aliutaka Ubunge mara ya kwanza akaacha UDC ili tu awe Mbunge JPM akaona kitu akamla kichwa fasta kisha akamtupa nje, jamaa akafanya ya kufanya JPM akalala, jamaa akaona huu ndio mlango wa kutokea akapewa Tonge mara ya kwanza akapewa Tonge mara ya pili, nikasema jamaa anautaka Ubunge akishakua Mbunge anataka awe waziri (imekua), sasa kwa wasiojua ni kwamba target ya jamaa ni kua rais kivyovyote vile na yupo tayari kumpoteza mtu yeyote ataetaka kumzuia asifike pale juu, namna pekee ya kumzuia jamaa ni kumuwahi mapema, jamaa hana mswalie Mtume, narudia target ya jamaa huyo ni kua rais kivyovyote hapo anasubiria muda tu usogee na yeyote akifanya fyoko anapita nae, nimemaliza.
It makes sense!
 
Hii ni kweli Jamii check?
Magufuli mzuri kwasababu Magufuli hajawapiga risas na kuua umati wa Watoto, Vijana na Wanawake na kuwanyanyasa wananchi wa ngazi ya chini, Samia ndiyo kachafua taswila ya nchi kimataifa kwa Mauaji ya Watoto, Samia kama Raia elfu 10 yani kawashinda Viongozi wote wa Africa na Wakoloni
 
1790966923687.jpeg
 
Bado yuko vizuri sana kiuchumi kukua, ujenzi wa miundombinu ya barabara, ujenzi wa mahospitali, umaliziaji miradi ya kimkakati na kukua kwa ajira kupitia sekta binafsi. Ataweka rekodi ambayo itawapita watangulizi wake kwa kiasi kikubwa
Uhalisia unakataa, ana picha ya muuaji zaidi kuliko hizo sifa nyingine.
 
Back
Top Bottom