C CHUAKACHARA JF-Expert Member Joined Jun 3, 2011 Posts 12,388 Reaction score 6,482 Jun 16, 2026 #1 Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira?
Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira?
Kishimbe wa Kishimbe JF-Expert Member Joined Jul 18, 2013 Posts 7,835 Reaction score 8,703 Jun 16, 2026 #2 KASHINDA MUNGU!
Rhz4567 JF-Expert Member Joined Mar 16, 2018 Posts 5,371 Reaction score 7,382 Jun 16, 2026 #3 Aliyeweza kuzuia meli za mafuta.
M Malaria 2 JF-Expert Member Joined Oct 17, 2023 Posts 9,722 Reaction score 15,117 Jun 16, 2026 #4 CHUAKACHARA said: Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira? Click to expand... Iran
CHUAKACHARA said: Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira? Click to expand... Iran
Tlaatlaah JF-Expert Member Joined May 18, 2023 Posts 51,453 Reaction score 41,274 Jun 16, 2026 #5 CHUAKACHARA said: Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira? Click to expand... nadhani alieshida vita hiyo ni yule aliekubali kwa hiyari yake kuweka silaha chini, na kuyapa kipaumbele mazungumzo ya amani mezani
CHUAKACHARA said: Wamesaini makubaliano, ina maana sasa vita imeisha. Kashinda nani? Au nako kuna DRAW MATCH kama za kwenye mpira? Click to expand... nadhani alieshida vita hiyo ni yule aliekubali kwa hiyari yake kuweka silaha chini, na kuyapa kipaumbele mazungumzo ya amani mezani
S Swensa JF-Expert Member Joined Oct 18, 2024 Posts 2,880 Reaction score 4,295 Jun 17, 2026 #6 Tlaatlaah said: nadhani alieshida vita hiyo ni yule aliekubali kwa hiyari yake kuweka silaha chini, na kuyapa kipaumbele mazungumzo ya amani mezani Click to expand... Ni kweli
Tlaatlaah said: nadhani alieshida vita hiyo ni yule aliekubali kwa hiyari yake kuweka silaha chini, na kuyapa kipaumbele mazungumzo ya amani mezani Click to expand... Ni kweli