WiNice
Member
- May 19, 2025
- 21
- 19
JAMANI HIVI WANAWAKE NAO HUWA WANASAHAU VITU VIDOGO VIDOGO KAMA SISI WANAUME?
Mimi kuna muda nasahau kupiga maswaki,nasahau kufunga zipu ya suruali au kifungo cha shati,nasahau kabisa kuchana nywele wakati wa mtoko....
Wewe huwa unajisahau wapi mdau?
Au ulishawahi kuona mtu kajisahau kitu gani mpaka ukamcheka au kumshangaa?