Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

hahahahahahaha mie mtu nipo .......... nipo siasani mara nyingi zaidi kuliko huku ...... si unajua tunaandaa mikakati mizito kukabiliana na masalia ndani ya chama cha ukombozi ....... ....... tunapishana sana huko na mr president mtarajiwa (@arushaone)!
U mzima wewe!

uwe unapitaga na huku kutupa hi jamani.

Halafu lile somo lako la siasa halikuniingia labisa itabidi tuanze upya maana 2015 sio mbali
 
uwe unapitaga na huku kutupa hi jamani.

Halafu lile somo lako la siasa halikuniingia labisa itabidi tuanze upya maana 2015 sio mbali
Haya hakuna problem; nitakuwa napitapita sana huku kuwasabahi...........masomo yetu tutaanza tena tukimaliza kuweka mambo sawa ndani ya chama ....... kuna virusi tunawascan ndani ya chama ....... hope soon nitakuwa available; ila pitiapitia zile notisi nikija nakupa quiz 2015 I karibu sana! mpe hi shemeji Arushaone!
 
Last edited by a moderator:

Poa, ukiwa tayari utanijulisha nami nitaendelea kupiga msuli kwaajili ya quiz.

Salamu kwa shemejio nitazifikisha.
 
Last edited by a moderator:
Atapewa talaka kisha atachukuliwa na mwingine wewe utabaki kuendelea kuumia.
 
mimi nilishampaga talaka siku nyingi sana, ndo figaniga akamuopoa, hii comment nilitoaga kipindi hicho mapenzi yetu yapo motomoto, hata sina kumbukumbu tena ni lini nilimwacha ..... ila nakumbuka ilikuwa kwenye mfungo wa kiislamu! sasa hvi nipo single nakula vya kuotea teh teh teh teh! Mpe hi kiwatengu!

hivyo vya kuotea vibaya shauri yako usiache kuvaa soksi lakini
salam zimefika
 
love u and you will be mine.
Completely mine

Lahaula lakwataa...hapa ngoja nirekebishe miwani yangu vizuri nipate kuyasoma haya!!!

measkron mpenzi hebu ukuje huku haraka, usisahau ile bastola yako eenh!!!
 
Last edited by a moderator:
kuna mtu humu ndani namzimia kichiz sasa bana ana ndoa yake humu ndani huyo mwanamke wake sasa anajiachiageee coments za kufa mtu.Mie huku naumiaje na roho nakondaaaaje sasa!!!!Naombea apewe talaka ni
uchukue mzigo juu juu talaka hapewi.Duh Kaizer watu8
Paloma ladyfurahia Madame B cacico Kipaji Halisi Mentor Mrembo by Nature Heaven on earth ladydoctor Bishanga arabella YNNAH mimisa miss strong Nivea Husninyo Chachu Ombara Filipo Arushaone Mamndenyi
jamani nakondaaaaaaaaaaa!!!!
Ah ah ah ah nimecheka sana aithee
 
Back
Top Bottom