Jamani hizi ndoa zenu za cc zinaturusha roho wenzenu!!!

mwaJ kikulacho kinguoni mwako, wanaume wote tumeumbwa zaifu akiwemo mwandani wako Mwita Maranya.

Aaaaa wapi! Bishanga unajidanganya. Mwanaume wa kikurya hali vya kunyonga, akiitaka mtu mpya anaoa kabisa (anachinja). Hakuna vya kuficha ficha. Kwa hilo suala la kuongezewa mke mwenza kama lipo lazima nijulishwe mapemaaaaa. Au uongo Mwita Maranya?
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Asavali umueleze huyo mzee Bishangaa ajue, mimi sili vya kunyonga ni mwendo wa kuchinja tu!!! Asifikiri kuwa udhaifu wake ndio udhaifu wa wanaume wenzake.

Aaaaa wapi! Bishanga unajidanganya. Mwanaume wa kikurya hali vya kunyonga, akiitaka mtu mpya anaoa kabisa (anachinja). Hakuna vya kuficha ficha.

Babe suala la kuongeza mke kwa sasa halipo kwakuwa so far umetimiza mahitaji yote yanayohitajiwa kwa mke wa mkurya.We jitulize tu uendelee kula raha na kufurahia maisha.

Kwa hilo suala la kuongezewa mke mwenza kama lipo lazima nijulishwe mapemaaaaa. Au uongo Mwita Maranya?
 
Last edited by a moderator:
Aaaaa wapi! Bishanga unajidanganya. Mwanaume wa kikurya hali vya kunyonga, akiitaka mtu mpya anaoa kabisa (anachinja). Hakuna vya kuficha ficha. Kwa hilo suala la kuongezewa mke mwenza kama lipo lazima nijulishwe mapemaaaaa. Au uongo Mwita Maranya?

Kwa hiyo mwaJ uko tayari kuolewa mitala? Ngoja nimtonye Madam B ana rafiki yake anataka kuolewa.
 
Last edited by a moderator:
Asavali umueleze huyo mzee Bishangaa ajue, mimi sili vya kunyonga ni mwendo wa kuchinja tu!!! Asifikiri kuwa udhaifu wake ndio udhaifu wa wanaume wenzake.

Babe suala la kuongeza mke kwa sasa halipo kwakuwa so far umetimiza mahitaji yote yanayohitajiwa kwa mke wa mkurya.We jitulize tu uendelee kula raha na kufurahia maisha.
Hakika mwaJ namwonea huruma in advance......bora angeolewa na mhaya nitonye the handsome
 
Last edited by a moderator:
Asavali umueleze huyo mzee Bishangaa ajue, mimi sili vya kunyonga ni mwendo wa kuchinja tu!!! Asifikiri kuwa udhaifu wake ndio udhaifu wa wanaume wenzake.

Babe suala la kuongeza mke kwa sasa halipo kwakuwa so far umetimiza mahitaji yote yanayohitajiwa kwa mke wa mkurya.We jitulize tu uendelee kula raha na kufurahia maisha.
Afadhali nimeshusha pressure. Bishanga, Bujibuji, saudari, Mamndenyi, Jiwe Linaloishi na wanoko wengine mtasubiri sanaaaa!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom