Mtumishitu
Member
- May 2, 2022
- 86
- 139
Hapana!Hivi hao wanaweza kunifikia wakiwa wabichi kabisa?,.
Hao mpaka wawekwe kwenye FREEZER.Hivi hao wanaweza kunifikia wakiwa wabichi kabisa?,.
Duuh,. Naonaga wengine huku dagaa nyasa wanawekewa yale mabarafuHapana!
In short ni ngumuHao mpaka wawekwe kwenye FREEZER.
Na inawezekana??Hao mpaka wawekwe kwenye FREEZER.
baby mi si nipo nawewe lakini sasa mi habari za nyasa nazijulia wapi..?Duuh,. Naonaga wengine huku dagaa nyasa wanawekewa yale mabarafu
Au huko ni mbali sana
Sijajuwa uko sehemu gani kutoka hapa MWANZA???Duuh,. Naonaga wengine huku dagaa nyasa wanawekewa yale mabarafu
Au huko ni mbali sana
mpaka wanakufikia wameshakuwa wabaya!, si ule hao dagaa tonge wa hapo dar kwenu!Na inawezekana??
Vipi bei yake?? Na gharama zote za usafiri ilimradi wanifikie wakiwa wabichi
Wabichi sijawahi wasafirisha,huwa nasafirisha wale WAKAVU na NYAMA NONO(wamafuta).Na inawezekana??
Vipi bei yake?? Na gharama zote za usafiri ilimradi wanifikie wakiwa wabichi
Niko Songea mkuu,. Itawezekana au ni ngumu?Sijajuwa uko sehemu gani kutoka hapa MWANZA???
Kaone😃baby mi si nipo nawewe lakini sasa mi habari za nyasa nazijulia wapi..?
Hao wa mafuta means unawaandaa wakiwa hawajakauka kabisa si ndyo??Wabichi sijawahi wasafirisha,huwa nasafirisha wale WAKAVU na NYAMA NONO(wamafuta).
Songea ni mbali sana,maana yake 24 hours ,watafika huko hawana radha kamili au wameharibika ata ukiwekea barafu.Niko Songea mkuu,. Itawezekana au ni ngumu?
Wabichi nahitaji kidogo tu kwajili ya kula
Hahahahaaa nimecheka kwa sauti ndugu,,unamanisha SUPU ya dagaa????Hao wa mafuta means unawaandaa wakiwa hawajakauka kabisa si ndyo??
Sijawahi kuonja hao dagaa wakiwa wabichi nataka nitaste nione ladha yake inafananaje
Wanaadaliwa wakiwa wabichi kabisaHao wa mafuta means unawaandaa wakiwa hawajakauka kabisa si ndyo??
Sijawahi kuonja hao dagaa wakiwa wabichi nataka nitaste nione ladha yake inafananaje
Mh! wewe muuzaji baby wangu sio mshamba kihivyo taratibu ndugu..😂Hahahahaaa nimecheka kwa sauti ndugu,,unamanisha SUPU ya dagaa????