Leejay49
JF-Expert Member
- Feb 10, 2023
- 19,749
- 62,766
Hapana😄😄,.Hahahahaaa nimecheka kwa sauti ndugu,,unamanisha SUPU ya dagaa????
Wanaweza kukaangwa yaani namaanisha wakiwa hawajakauka kama hivyo
Hapana😄😄,.Hahahahaaa nimecheka kwa sauti ndugu,,unamanisha SUPU ya dagaa????
Nimekuchek pm mkuu,. Nawahitaji hao wakukaangwaWanaadaliwa wakiwa wabichi kabisa
Songea Sehemu Gani MkuuNiko Songea mkuu,. Itawezekana au ni ngumu?
Wabichi nahitaji kidogo tu kwajili ya kula
Wanaadaliwa wakiwa wabichi kabisa
Bombambili hapa kiongoziSongea Sehemu Gani Mkuu
wanaweza kukaangwa tena wanakuwa wazuri sio kama hao waliokauka!.. ukiwachapa na ugali wa dona uliochanganywa na unga wa muhogo halafu kachumbari pembeni unaweza kujikuta unaniambia "Baby nitongoze tena!"..😂Hapana😄😄,.
Wanaweza kukaangwa yaani namaanisha wakiwa hawajakauka kama hivyo
Umepatia vilevile nlivyokua nawaza..wanaweza kukaangwa tena wanakuwa wazuri sio kama hao waliokauka!.. ukiwachapa na ugali wa dona uliochanganywa na unga wa muhogo halafu kachumbari pembeni unaweza kujikuta unaniambia "Baby nitongoze tena!"..😂
hapo tumesahau kisamvu chenye karanga ili ikamilike iwe mboga saba...😋Umepatia vilevile nlivyokua nawaza..
Napenda sana dagaa aisee
Siku nyingine wachana na karanga kisamvu weka nazi .... Kiandae jioni au usiku halafu kiliwe siku ya pili 😋😋😋hapo tumesahau kisamvu chenye karanga ili ikamilike iwe mboga saba...😋
Niweke mimi tena!!!, Baby hivi nani huwa anapika mimi au wewe..?😂Siku nyingine wachana na karanga kisamvu weka nazi .... Kiandae jioni au usiku halafu kiliwe siku ya pili 😋😋😋
Hahah😄🤣Niweke mimi tena!!!, Baby hivi nani huwa anapika mimi au wewe..?😂
Mh! Kono, kono hasa ukinikamata si waweza kunivunja wewe!Habari zenu wana jamii hili jukwa limekuwa pendwa kwangu kwa maana imekuwa sehemu rahisi ya kukutana na watu wapya na wateja wapya hivyo sina budi ya kushukuru waanzilishi wa hili jukwa.
TWENDE KWENYE DHUMUNI.
Kesho tarehe 18 April 2025 uvuvi unaanza rasmi kwa kifupi GIZA hii ni baada ya kusimamishwa uvuvi yaani MBALA MWEZI kwa muda mfupi ambayo hii ni kawaida kila mwezi .
Mali ziwani nyingi mno kwa wateja wangu na wale wapya SIMU zianze kupigwa kuanzia tarehe 19 kwa bei na maelekezo zaidi.
0657886964View attachment 3307481
KWA WALE WANAO HITAJI DAGAA TAFADHALI NIPIGIE 0657886964.
SMS SITOJIBU HIVYO PIGA SIMU HIYO.
Kama unataka kuzimia nikusaidie mimi kupika unaweza ukajilaumu maisha yako yote!, mi napikaga mpaka chai inakuwa na mabuja!..😂Hahah😄🤣
Siku nyingine tunasaidiana
Labda uwakaange kwenye mafuta kwa namna ya kuwakausha kama ifanyikavyo kwa samaki. Vinginevyo dagaa wa ziwa Viktoria ukiwapika wakiwa wabichi (binafsi walinishinda~sio watamu) kama wakikaushwa au hivo nilivoelezea hapo juu.Hao wa mafuta means unawaandaa wakiwa hawajakauka kabisa si ndyo??
Sijawahi kuonja hao dagaa wakiwa wabichi nataka nitaste nione ladha yake inafananaje
Dagaa nyasa ndio tunawala huku saizi watamu sana,. Hivi Lupambu ni wale wanaochemshwa hadi wanaganda au ni wale wanaochomekwa vijini wanabanikwa??Labda uwakaange kwenye mafuta kwa namna ya kuwakausha kama ifanyikavyo kwa samaki. Vinginevyo dagaa wa ziwa Viktoria ukiwapika wakiwa wabichi (binafsi walinishinda~sio watamu) kama wakikaushwa au hivo nilivoelezea hapo juu.
Dagaa watamu kwa kuwachemsha wakiwa wabichi ni dagaa Mchele (wale wa maji chumvi). Niliwala kwa mtindo huu nikiwa bagamoyo ni watamu sana. Unawachemsha unanyunyizia mafuta kwa mbaaali na kitunguu kwa mtindo wa chukuchuku. Ni watamu balaa, japo hawafikii utamu wa dagaa nyasa wale wanaitwa LUPAMBU unawajua?
Sawa,hao wanasafirishwa vizuri tu,kwenye boxMtumishitu nlikua namaanisha kama hao wa kwenye picha ulizoweka
Nimekueleza pm nawahitajiSawa,hao wanasafirishwa vizuri tu,kwenye box
Wa huku mwanza wanakaangwaLabda uwakaange kwenye mafuta kwa namna ya kuwakausha kama ifanyikavyo kwa samaki. Vinginevyo dagaa wa ziwa Viktoria ukiwapika wakiwa wabichi (binafsi walinishinda~sio watamu) kama wakikaushwa au hivo nilivoelezea hapo juu.
Dagaa watamu kwa kuwachemsha wakiwa wabichi ni dagaa Mchele (wale wa maji chumvi). Niliwala kwa mtindo huu nikiwa bagamoyo ni watamu sana. Unawachemsha unanyunyizia mafuta kwa mbaaali na kitunguu kwa mtindo wa chukuchuku. Ni watamu balaa, japo hawafikii utamu wa dagaa nyasa wale wanaitwa LUPAMBU unawajua?