Jamani huku dagaa tayari zimeanza tusilale kizembe ziwa la watanzania

Jamani huku dagaa tayari zimeanza tusilale kizembe ziwa la watanzania

Umesema msg hujibu na wakati huohuo tangazo lako ni la kimaandishi si ungerumia video au audio kutuletea Tangazo lako?

Kwahiyo sisi wenye kigugumizi na bubu umetutenga sio?
Hapana mkuu sijawatenga,pia unaweza uliza hapa hapa nikipita nikiona swali lako nitakujibu kama linajibika
 
Leo DAGAA imeshuka bei 300,000/= kwa gunia Grade A .(40kgs)

Furu imepanda bei 170,000/= kwa gunia.
Isiyo ya mchanga(40kgs).

N:B.
bei ya leo
 
Back
Top Bottom