Mtumishitu
Member
- May 2, 2022
- 86
- 139
- Thread starter
- #41
Sawa,ngoja nioneNimekueleza pm nawahitaji
Sawa,ngoja nioneNimekueleza pm nawahitaji
Hao wanaobanwa kwenye vijiti wanabanikwa ni LUPAMBU 😋😋😋ni watamu sana.Dagaa nyasa ndio tunawala huku saizi watamu sana,. Hivi Lupambu ni wale wanaochemshwa hadi wanaganda au ni wale wanaochomekwa vijini wanabanikwa??
Huku kwetu hao ndio msimu wake huu saiz
Hapo nimekupata chief,. Ni watamu sana dagaaHao wanaobanwa kwenye vijiti wanabanikwa ni LUPAMBU 😋😋😋ni watamu sana.
Hao wa kuchemshwa hadi wanaganda (mteke) niliwala Tabora
Ni kweli. Nawala mara nyingi sana nanunua kwa wale akina mama wanaowaanika kwenye mawe (majabali) kule bwiru na kitangiri. Hao wa kukaangwa nanua soko la samaki na dagaa pale mwaloniWa huku mwanza wanakaangwa
Sawa mtu wa mbalizi,nimepamiss tarafani huko na ifsi pale mkuu hahahhaaaNi kweli. Nawala mara nyingi sana nanunua kwa wale akina mama wanaowaanika kwenye mawe (majabali) kule bwiru na kitangiri. Hao wa kukaangwa nanua soko la samaki na dagaa pale mwaloni
Bei kuanzia tarehe 20 nitaanza kuotoa ,kwa uhakika wa taarifa muda wote jiunge group la whattsapp andika DAGAA.0657886964Mh! Kono, kono hasa ukinikamata si waweza kunivunja wewe!
Hongera sana kwa kujitafuta, tupe bei ya gunia na location tutathimini kufanya biashara.
Location MWANZA KIRUMBA MWALONI .soko kuu la kimataifa la samaki na dagaa .nimeweka mawasiliano hapo mkuuMh! Kono, kono hasa ukinikamata si waweza kunivunja wewe!
Hongera sana kwa kujitafuta, tupe bei ya gunia na location tutathimini kufanya biashara.
Nime acha ushamba basi ,Mh! wewe muuzaji baby wangu sio mshamba kihivyo taratibu ndugu..😂
Tuwasiliane kuanzia tarehe 20,GIZA ndio limeanza leo mkuu.0657886964Wakukaanga kilo nauza shingapi??
Nipo mkolani hapa stand
******** hapa hunipati hata kidogo, hakuna chakula nakichukia kama hivi vimisumari, yaani sioni utamu / uzuri wake hata kidogo.Habari zenu wana jamii hili jukwa limekuwa pendwa kwangu kwa maana imekuwa sehemu rahisi ya kukutana na watu wapya na wateja wapya hivyo sina budi ya kushukuru waanzilishi wa hili jukwa.
TWENDE KWENYE DHUMUNI.
Kesho tarehe 18 April 2025 uvuvi unaanza rasmi kwa kifupi GIZA hii ni baada ya kusimamishwa uvuvi yaani MBALA MWEZI kwa muda mfupi ambayo hii ni kawaida kila mwezi .
Mali ziwani nyingi mno kwa wateja wangu na wale wapya SIMU zianze kupigwa kuanzia tarehe 19 kwa bei na maelekezo zaidi.
0657886964View attachment 3307481
KWA WALE WANAO HITAJI DAGAA TAFADHALI NIPIGIE 0657886964.
SMS SITOJIBU HIVYO PIGA SIMU HIYO.
Hahahaha ,sawa boss******** hapa hunipati hata kidogo, hakuna chakula nakichukia kama hivi vimisumari, yaani sioni utamu / uzuri wake hata kidogo.
Kono la ke hili I can guess.Habari zenu wana jamii hili jukwa limekuwa pendwa kwangu kwa maana imekuwa sehemu rahisi ya kukutana na watu wapya na wateja wapya hivyo sina budi ya kushukuru waanzilishi wa hili jukwa.
TWENDE KWENYE DHUMUNI.
Kesho tarehe 18 April 2025 uvuvi unaanza rasmi kwa kifupi GIZA hii ni baada ya kusimamishwa uvuvi yaani MBALA MWEZI kwa muda mfupi ambayo hii ni kawaida kila mwezi .
Mali ziwani nyingi mno kwa wateja wangu na wale wapya SIMU zianze kupigwa kuanzia tarehe 19 kwa bei na maelekezo zaidi.
0657886964View attachment 3307481
KWA WALE WANAO HITAJI DAGAA TAFADHALI NIPIGIE 0657886964.
SMS SITOJIBU HIVYO PIGA SIMU HIYO.
Leejay49Hapo Siku Emma Anaongea Na Wahariri Nilikuwepo
Soko Kuu, Mfalanyaki, Bombambili
Ndio,hao wamekaangwa kabla hawajakaukaMtumishitu nlikua namaanisha kama hao wa kwenye picha ulizoweka
Siku nyingine unistuage mkuu tusalimianeHapo Siku Emma Anaongea Na Wahariri Nilikuwepo
Soko Kuu, Mfalanyaki, Bombambili
Ukipita tena nicheki nikufungashie dagaa nyasa madafu😁😁Leejay49