Jamani huku dagaa tayari zimeanza tusilale kizembe ziwa la watanzania

Dagaa nyasa ndio tunawala huku saizi watamu sana,. Hivi Lupambu ni wale wanaochemshwa hadi wanaganda au ni wale wanaochomekwa vijini wanabanikwa??
Huku kwetu hao ndio msimu wake huu saiz
Hao wanaobanwa kwenye vijiti wanabanikwa ni LUPAMBU 😋😋😋ni watamu sana.

Hao wa kuchemshwa hadi wanaganda (mteke) niliwala Tabora
 
Hao wanaobanwa kwenye vijiti wanabanikwa ni LUPAMBU 😋😋😋ni watamu sana.

Hao wa kuchemshwa hadi wanaganda (mteke) niliwala Tabora
Hapo nimekupata chief,. Ni watamu sana dagaa
 
Wa huku mwanza wanakaangwa
Ni kweli. Nawala mara nyingi sana nanunua kwa wale akina mama wanaowaanika kwenye mawe (majabali) kule bwiru na kitangiri. Hao wa kukaangwa nanua soko la samaki na dagaa pale mwaloni
 
Ni kweli. Nawala mara nyingi sana nanunua kwa wale akina mama wanaowaanika kwenye mawe (majabali) kule bwiru na kitangiri. Hao wa kukaangwa nanua soko la samaki na dagaa pale mwaloni
Sawa mtu wa mbalizi,nimepamiss tarafani huko na ifsi pale mkuu hahahhaaa
 
Mh! Kono, kono hasa ukinikamata si waweza kunivunja wewe!
Hongera sana kwa kujitafuta, tupe bei ya gunia na location tutathimini kufanya biashara.
Bei kuanzia tarehe 20 nitaanza kuotoa ,kwa uhakika wa taarifa muda wote jiunge group la whattsapp andika DAGAA.0657886964
 
Mh! Kono, kono hasa ukinikamata si waweza kunivunja wewe!
Hongera sana kwa kujitafuta, tupe bei ya gunia na location tutathimini kufanya biashara.
Location MWANZA KIRUMBA MWALONI .soko kuu la kimataifa la samaki na dagaa .nimeweka mawasiliano hapo mkuu
 
******** hapa hunipati hata kidogo, hakuna chakula nakichukia kama hivi vimisumari, yaani sioni utamu / uzuri wake hata kidogo.
 
Leo jamani wavuvi wameingia kutafuta mali tuombe Mungu hili giza zitoke kwa wingi maana giza iliyo pita mali zilikuwa sio nyingi.
 
Kono la ke hili I can guess.
 
Hapo Siku Emma Anaongea Na Wahariri Nilikuwepo
Soko Kuu, Mfalanyaki, Bombambili
 
Umesema msg hujibu na wakati huohuo tangazo lako ni la kimaandishi si ungerumia video au audio kutuletea Tangazo lako?

Kwahiyo sisi wenye kigugumizi na bubu umetutenga sio?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…