Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
PrivateNi plaiveti au gavmenti?
Kwa hiyo umeamua kuja kunianika na kunipiga Majungu huku Jamii forum sio , umeshindwa nini kuniambia live ?Jamaa nimemfichia yake mengi eti leo analeta upumbavu aise.
HaaaaahaaaaUnadai hela ya wizi mkuu?
AsantePole mkuu, tumia hekima utavuka
HaaaahaaaaKwa hiyo umeamua kuja kunianika na kunipiga Majungu huku Jamii forum sio , umeshindwa nini kuniambia live ?
Ngoja nikifungie safari , Jumatatu utakuja ofisini una okota makopo kama chizi
Kwa hiyo umeamua kuja kunianika na kunipiga Majungu huku Jamii forum sio ?Jamaa nimemfichia yake mengi eti leo analeta upumbavu aise.
Njaa na Tamaa vimekuponza hivyo malizana naye / nao mwenyewe. Ungepata hiyo Hela ungekuja Kutuambia hapa?Aise wadau salama kabisa.
Aise nimeishiwa pozi jamani. kazini huku kuna kazi aise ni balaa ipo hivi hapa ofisi kwetu mm ni mtu wa tatu kiutawala sasa yupo mkuu wa idara na msaidizi wake halafu nafuata mimi .
Sasa kuna jambo fulani lilifanyika hapa ofisini ikabidi nishirikishwe sasa baada ya jambo kutiki msaidizi akanifata akaniambia kuwa inabidi tupate fungu na hata katika makubaliano ya mwanzo ilikuwa mchongo ukitiki tupate mgao kidogo.
Sasa baada ya mchongo kutiki mkuu wa idara akawa kama vile analeta chengachenga msaidizi wake akanifata na kuniambia kuwa tumfate jamaa atupe chetu .tulipo mfata akasema atatupa leo.
Sasa leo nikaona kamuita msaidizi akampa chake bwana ikabidi nimfate msaidizi kumuuliza kama kapewa akasema amepewa kumuuliza ngapi akanitajia kiasi.
Sasa ikabidi nimtafute bosi akasema tutaonana nae jioni.
Aise kanipigia anakoroma eti hapendi kufatiliwa. Kumbe msaidizi wake alimpigia akamwambia kuwa nimemfata nikamuuliza kiasi eti nalo limekuwa kosa kwamba namfatilia.
Tuishi kwa umakini na baadhi ya watu sasa jamaa kumwambia vile sijui lengo lilikuwa ninini? Hivi hapa bosi kasema jumatatu kikao maana ameniuliza nikakataa kuwa sikumfata jamaa nimemwambia kuwa jamaa ndio alinifata kuniuliza na mimi nashikilia msimamo huo. Jamaa anataka aonekane mzuri kwa bosi wakati ananjaa balaa.
Njaa na Tamaa vimekuponza hivyo malizana naye / nao mwenyewe. Ungepata hiyo Hela ungekuja Kutuambia hapa?
Hiyo tabia ya kujambia maboro inayo wanaume wengi humu wana viherehere na nuksi balaaSiku nyingine tumia akili, usipende kukurupukia mambo ya wizi na dezo dezo.
Unaonekana hata hiyo nafasi uliipata kwa kudoea na kujambia ukuni. Hauko smart.
Usipende kushiriki kwenye magendo, na kama ukishiriki basi lazima uwe EXTREMELY SMART and CALCULATED.
Usijambie boro ili kupata nafasi. Tumia akili kupata unachostahili.
Cc: Lamomy cocastic Mbaga Jr Kapeace The Icebreaker Poor Brain Mzee wa kupambania
😂😂😂🤣🤣😂Hiyo tabia ya kujambia maboro inayo wanaume wengi humu wana viherehere na nuksi balaa