Jamani huku makazini mwetu kuna kazi

Jamaa nimemfichia yake mengi eti leo analeta upumbavu aise.
Kwa hiyo umeamua kuja kunianika na kunipiga Majungu huku Jamii forum sio ?
Au unadhani wewe tu ndio upo jamii forum ? , umeshindwa nini kuniambia live ofisini ?
Naona unanichezea wewe.
Ngoja nikifungie safari , Jumatatu utakuja ofisini una okota makopo kama chizi
 
Siku nyingine tumia akili, usipende kukurupukia mambo ya wizi na dezo dezo.

Unaonekana hata hiyo nafasi uliipata kwa kudoea na kujambia ukuni. Hauko smart.

Usipende kushiriki kwenye magendo, na kama ukishiriki basi lazima uwe EXTREMELY SMART and CALCULATED.

Usijambie boro ili kupata nafasi. Tumia akili kupata unachostahili.

Cc: Lamomy cocastic Mbaga Jr Kapeace The Icebreaker Poor Brain Mzee wa kupambania
 
Njaa na Tamaa vimekuponza hivyo malizana naye / nao mwenyewe. Ungepata hiyo Hela ungekuja Kutuambia hapa?
 
Hiyo tabia ya kujambia maboro inayo wanaume wengi humu wana viherehere na nuksi balaa
 
Kama ni mchongo wa haramu jumatatu nenda kwenye kikao set simu yako urecord kila kitu mwisho wa kikao save alafu mwambie ushahidi wa mkwara wote umeurekodi achague moja akupe chako au umuharibie? Na hata akikupa chako usiifute endelea kuishi nayo kama silaha nzito ya kivita maana utakua tayari umetangaza vita
 
Kwanza kaa kimya, Also jtatu muibukie ofisini chifu kabla ya kikao funguka ukweli na muombe msamaha mkiwa 2 then Tuendelee na mapambano, But all Jamaa ni mnafiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…