Jamani Husninyo anatafuta mchumba


Kwenye PM nimesha kutumia CV yangu, birth certificate, copy ya vyeti vyangu vya taaluma, bank statement, salary slip za miezi sita nyuma, copy ya hati zangu za nyumba, barua ya afisa mtendaji kata na medical examination report ili kukutoa shaka kabisa juu ya status yangu ya afya
 

Yaan Bujibuji ukitoswa kwa yote uliyoelezea hapa nakuomba ujinyongeee
 
Last edited by a moderator:

hahahaha!
 

sina imani na hiyo medical examination report. Lazma twende mguu kwa mguu.
 
Yaan Bujibuji ukitoswa kwa yote uliyoelezea hapa nakuomba ujinyongeee

shosti hebu niangalizie kwenye pm yako kama hizo docs za bujibuji zimekuja kwako. Huku kwangu sizioni
 
Last edited by a moderator:
Hapo kwenye rangi ndio kigezo muhimu kuliko vyote Kule kwetu,ng'ombe wataachiwa watoke wenyewe zizini Bila kuhesabiwa!!!
 
Last edited by a moderator:
shosti hebu niangalizie kwenye pm yako kama hizo docs za bujibuji zimekuja kwako. Huku kwangu sizioni
mimi sijui ntafikiriwa nimemaliza chuo juzuu zote,hiyo ni equivalent na phd ya caanon.
 
Husninyo besti , nitumie picha chapuchapu , nikamate fursa adimu hii mamaaaaaaa
 
Last edited by a moderator:

Hivi ile Avatar yako ya kukonyeza haikukusaidia kupata mwenza? Khe khe khe kheeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee just joking. Kila la kheri kama kweli uko serious kumpata your darling.
 
wewe selective,umesahau kitu cha muhimu...ASIWE PUNGA (MCHELE MCHELE )
 
Damu ya kichaga! Haya mimi nina kabati ya baridi, nina sinema ya nyumbani, ng'ombe ya masiwa na stauti dume! Nina numba ya mawe na shmba la urisi! Elimu nafanya kasi nkwarungo na ni bingwa wa kushungusa makooosi! Umri bado kufika hamsinyi! Kwiifo enda ro kekwee! Karibu Tongaako!
 
dear Husninyo..... kwanini unabagua watu wafupi..?

actually, mimi ni saiz ya hasheem thabeet.. how do you see? nimezidi ama?
kipenda roho ula nyama mbichi.. hajabagua wafupi, ila anavutiwa zaidi na wale warefu kama wewe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…