Jamani Husninyo anatafuta mchumba

una umri kias gani bibie?,hiyo degree uliyonayo ya masomo gani.,attach your picture,then yu get me
 

All the best Husninyo !
 
Last edited by a moderator:
Mimi ni Father Malila, wa Parokia ya Mkuranga, nilimwahidi Muumba kuto kwenda kinyume na patano letu.

Safi sana father Malila, hivi ile project ya mapumziko garden imeshakamilika? bado najipanga nije huko, natumai gharama zake ni affordable.
 
Last edited by a moderator:
Ntuzu uko wapi kuna fursa huku
njoo uchangamkie chap chap sana
lakini Husninyo degreee yako utakubali kuitumia kwa manufaa ya familia tu kuongeza idadi uzalishaji wa maziwa na si watujua wasukuma kaka yangua na ng'ombe 200 kidogo
kama uko tayari funga lisred ujipatie mawifi wa kijanja chap chap sana kama mimi mwallu venine honeyfaith
 
Last edited by a moderator:

Aaaah! Nilikutokea zamani ukanirusha.

Vigezo vyote nimetimiza na zaidi.

Sasa naamini, mambo mazuri hayataki haraka, ni PM.
 
Excel umefikia wapi kwenye hii fursa?
 
Last edited by a moderator:
hehehehe!! babu nisaidie basi kama huko TA kuna wajukuu watiifu kama mie. si unajua mjukuu wako sina makuu. nahitaji baraka zako katika hili

Usiwe na shaka....

Piga hodi kwa bibi ili akupe mwongozo...
 
not qualified mweh! Sijui kwanini niliumbwa mfupi, sina degree, sina kazi, sina pesa, looh! ThE oNly THING I HAVE THAT YOU NEED IS DUSHE also known as MGEGEDIO, Utanikubali? Na wala sivutii
 

dear Husninyo..... kwanini unabagua watu wafupi..?

actually, mimi ni saiz ya hasheem thabeet.. how do you see? nimezidi ama?
 
Last edited by a moderator:
sisi tulioishia la saba na tunauza supu ya ngoz..tunakomaaje :A S 13::A S 13:
 
Safi sana father Malila, hivi ile project ya mapumziko garden imeshakamilika? bado najipanga nije huko, natumai gharama zake ni affordable.

Iko pazuri, kwa sasa imejitangaza tayari, ukiuliza kwa konda wa njia ile,wapi mabanda ya mbuzi atakushusha, tunaendelea na ujenzi wa nyumba ya samaki aina ya sato/perege. mdogo mdogo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…