Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Jombaaaa hizo Twitter Facebook Instagram zote zinakuwa control na ma director wakee
So kumpata mwenyewe Direct inakuwa ishuuu
Hahaahaahaha..
Nigeria,anaishi na wazazi wake,ilidaiwa ana date na Mr Flavour,hana hips,joh makini atakuwa na contacts zake
Mrembo kikojozimbona warembo zaidi tupo au?
Heeeehhh mkia upi mweeeehh?Mimi kwangu mwanamke hata awe mzuri namna gani, kama hana mkia kwa kweli hata salam yangu kuipata ni shida sana.
Huyo binti ana sura nzuri ila ni flat screen, kwangu ana maksi sifuri.
brother kwa kidoti u failedKumbe Wanaume huwa tunauono sawia??
Mimi mademu dizaini ya CHIDINMA NA JOKATE wananiua kabisa
ndo nimeanza mdogo mdogoHautumii fursa zako kujitangaza tukuoneee