Jamani huyu dada anaitwa Chidinma nampenda kuliko maelezo

We Simba wa Arusha ongea na Joh Makini atakurahisishia namna ya kumpata.Mi hua nampenda sana Tiwa Savage nikiona video zake natamani niingie kwenye tv japo nimhug tu.
 
Aise hata Mimi nakatamani sana kumbe macho juu yake yako mengi hivyo??
 
Ni mzuri,muangalie kwenye coke studio ya wyclef jean....so cute
 
Nimeangaliaaa Sioni hata uzuri wake uko wapi naona ni wa kawaida tu
 
Jamani kama kuna mtu anae jua njia za ku mpata huyu dada anisaidie.
Mana kama sifa zote ninazo za kuwa nae.
Naweza honga hata pesa ya kupiga nae picha tu kama hatonipenda.
Mbona wa kawaida.kweli mapenzi ni upofu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…