Jamani huyu msichana mie simuelewi. Naombeni ushauri

Asili maana yake wazazi wake wana nasaba ya Waarab aidha baba au Mama mtu
ndiyo kaka ila sasa huyu ukimuona utagundua kuwa asili ya kiarabu imempitia mbali kidogo, labda babu zake ndo walikuwa waarabu.
 
Unaweza kuta hapo kawataka wote, afu kuna jamaa anakula kakuzidi mipango, man kama unataka wa kusuuzia rungu Rungu shuka Kaumba pale unanjunja unaendelea na maisha mengine, mm siwezi fukuzia uterezi kama nafukuzia pepo
Hahaaa kwakweli kufukuzia uterezi kama unafukuzia pepo ni u-zwazwa
 
Duh.. kweli kuna wanaume dhaifu sana.. sasa unabaki kujuta huku nafasi ulikuwa nayo
 
Kwema kabisa mae, ndio iceman anakuficha hivyo?
Teh teh teh
Nipumzishe kidogo dia, iceman tulishaachana siunakumbuka lakini ulivyonipeleka kwenye fumanizi?

Vipi wenzio wapo wapi?
Nimewamis pia ujue
 
Aah huyo , hakutak baba jiongeze hao chotara hizo ndo swaga zao
 
Analipiza, we si ulikua unamringia mwanzo bhn!! Basi kwa kuwa ameshajua unamtaka na yeye anafanya kusudi kukuringia
 
Dogo wengine watu wa system achana kabisa na hii awamu utaaribu CV yako, huyo alikuja kwa kazi maalumu inaonekana alishakutumia kwa kazi zake.
 
Mh! Kweli binadamu tupo wa kitofauti yaani unakataliwa na wakati kuna mwenzako alikata dudu kwa ajili ya usumbufu aliokuwa anaupata kutoka kwa ke!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…