- Thread starter
- #21
Yan acha tu sema kikubwa Ni kurudia kwa vyuo unavovitaka make mm nimerudia nimepataHiki kitu mimi sikubaliani nacho, mimi najuwa maombi unatuma kwenye chuo kwa kuingia website ya chuo husika,kuhusu kupigiwa simu mimi mwezi uliopita kampala na Mihayo ya Tabora walinipigi simu nikawaambia sijaomba kisoma chuo chochote, hili sielewi wao taarifa wanazitoa wapi mpaka wakuconfirm wakati haujaomba