Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

anatakiwa awe fundi cherehani,akisukuma mwezi mmoja tu atapungua
 
Wanaboaaa hawa wasaniii kutwa kucha wanatumika na ccm ila wakiumwa wanatutafuta wananchi
Kwanini maisaidiwe na hao mnaowatumikia????
Shubamiiit
wanalipwa,wanarudi kwako wewe kwa kuwa hulipii vya kutosha huduma yao..ukitendwa unajiliwaza kwa bora tuachane ya lavalava au na yule
 
Anaona ni sifa kwasababu juzi kasema eti kama kuna mtu anataka apungue huo mwili basi amuwekee dau la pesa mezani.
 
Afu kwa kazi yake
Akitenga muda wa masaa matatu kila siku atakuwa fresh tu
Sema anajiendekeza na machips

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Jamani jamani Peter Msechu awa kituko yaani amenenepa nusu kupasukiana halafu anaimba kwenye mic anashindwa kupumua unaweza ukasikia kabisa anavyokosa pumzi hadi anapumua Kama katoka kukimbia mbio za marathon

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kujiendekeza n urafi ulopitiliza anakula hd msos wa watoto
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…