Crucial Man
JF-Expert Member
- Jan 11, 2011
- 3,404
- 1,311
anatakiwa awe fundi cherehani,akisukuma mwezi mmoja tu atapungua
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kifurutu kitambi pipa..
hapo mama ndo anakua juu,wakibadili basi ni k.kundu juuhahaha Hata mkewe anamlaliaje Sasa
wanalipwa,wanarudi kwako wewe kwa kuwa hulipii vya kutosha huduma yao..ukitendwa unajiliwaza kwa bora tuachane ya lavalava au na yuleWanaboaaa hawa wasaniii kutwa kucha wanatumika na ccm ila wakiumwa wanatutafuta wananchi
Kwanini maisaidiwe na hao mnaowatumikia????
Shubamiiit
Anaona ni sifa kwasababu juzi kasema eti kama kuna mtu anataka apungue huo mwili basi amuwekee dau la pesa mezani.Unajua, kwa hali hiyo yafaa tujue yeye anaichukuliaje hali aliyonayo?
Sote tunajua kitambi ni ugonjwa, ila kuna watu wanajisifu wakiwa na vitambi na wasionavyo hufanya kila juhudi ili wawe na vitambi!
Sisi tunaweza tukawa tunahuzunika na kutoa maushauri ilhali mhusika ndio kwanza anashangilia kwa mwili alionao.
Steve Jobs - Giant Of Technology.
She is always riding a horse.hahaha Hata mkewe anamlaliaje Sasa
Itakua mgonjwa huyu kavimba c tunasema kanenepa!au kameza mtu au nyumba? looh hilo tumbo sio la nchi hii *****![]()
Asubiri matokeo mkuu!Anaona ni sifa kwasababu juzi kasema eti kama kuna mtu anataka apungue huo mwili basi amuwekee dau la pesa mezani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] aisee kweli kakusanyika.[emoji23] [emoji23]
Jamani jamani Peter Msechu awa kituko yaani amenenepa nusu kupasukiana halafu anaimba kwenye mic anashindwa kupumua unaweza ukasikia kabisa anavyokosa pumzi hadi anapumua Kama katoka kukimbia mbio za marathon
Sent using Jamii Forums mobile app