Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

Jamani jamani Peter Msechu awa kituko

Kifurutu kitambi pipa..
C619B617-124A-4B0D-8397-05AE03EAA620-993-000001F4A7C723A9.jpeg
 
Wanaboaaa hawa wasaniii kutwa kucha wanatumika na ccm ila wakiumwa wanatutafuta wananchi
Kwanini maisaidiwe na hao mnaowatumikia????
Shubamiiit
wanalipwa,wanarudi kwako wewe kwa kuwa hulipii vya kutosha huduma yao..ukitendwa unajiliwaza kwa bora tuachane ya lavalava au na yule
 
Unajua, kwa hali hiyo yafaa tujue yeye anaichukuliaje hali aliyonayo?

Sote tunajua kitambi ni ugonjwa, ila kuna watu wanajisifu wakiwa na vitambi na wasionavyo hufanya kila juhudi ili wawe na vitambi!

Sisi tunaweza tukawa tunahuzunika na kutoa maushauri ilhali mhusika ndio kwanza anashangilia kwa mwili alionao.

Steve Jobs - Giant Of Technology.
Anaona ni sifa kwasababu juzi kasema eti kama kuna mtu anataka apungue huo mwili basi amuwekee dau la pesa mezani.
 
Afu kwa kazi yake
Akitenga muda wa masaa matatu kila siku atakuwa fresh tu
Sema anajiendekeza na machips

mchana toch ,usiku magogo tufanyaje?
 
Jamani jamani Peter Msechu awa kituko yaani amenenepa nusu kupasukiana halafu anaimba kwenye mic anashindwa kupumua unaweza ukasikia kabisa anavyokosa pumzi hadi anapumua Kama katoka kukimbia mbio za marathon

Sent using Jamii Forums mobile app

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kujiendekeza n urafi ulopitiliza anakula hd msos wa watoto
 
Back
Top Bottom