Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

katoto kazuri

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2018
Posts
6,124
Reaction score
5,745
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana .
Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy .
Nimeitwa mamy
Katoto kangu mwaya 😊😊😍😘
Kakue chimamy wangu mwaya.
 
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana .
Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy .
Nimeitwa mamy
Katoto kangu mwaya 😊😊😍😘
Kakue chimamy wangu mwaya.
Hongera kwa kukuza kabinti but I hope your husband is taking good care of your daughter too.
 
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana .
Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy .
Nimeitwa mamy
Katoto kangu mwaya 😊😊😍😘
Kakue chimamy wangu mwaya.
sawa mama mukwe.. naandaa zizi zima na jins maisha inakimbia mbio mbio ni kesho kutwa tu
 
Unaweza kutuambia Kwa nini akuwaowa hao kama kweli anapenda wanawake ila amekuowa wewe na Anniversary juu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…