Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha

Mimi nipo na baba watoto wangu na anahudumia sina shida naye kuhusu familia ila nashida naye kuhusu kuchepuka anachepuka naogopa kuandika mabaya maana amesaidia mengi sana
 
Jamani kabinti kangu kamekua hadi raha nawashirikisha kwa sababu mlinibezaga sana .
Eti katoto kazuri hakunaga kuitwaga mamy .
Nimeitwa mamy
Katoto kangu mwaya [emoji4][emoji4][emoji7][emoji8]
Kakue chimamy wangu mwaya.
Kakue kalipe madeni ya baba ake.
 
Hujui wewe ulivyo mtakavitu na mchukua vitu au unataka nielezee kiundani mimi nakujua sana kiundani hadi picha ninazo ila sina roho mbaya kama yako ya kukusema vibaya kwa sababu sijakuzwa kihivyoo.
Haaahaaaha aseee!

Mimi mtakavitu vya nani? Na mchukua vitu kivip? Wewe sikia mi siogopi kitu, hebu lete hizo picha na nakuruhusu kabisa uelezee kiundani ili watu wote wajue hapa!

Mimi nimekuruhusu haya tiririka
 
😂🤣🤣🤣🤣 hadi raha umepanic wewe chizi
 
Mkuu kuna kolabo ya hatari kati ya huyu katoto na hiyo yuniki flawa, akili zao kama mapacha vile
Mkuu umeshindwa kutambua kuwa huyu ni mmoja mwenye hizi id mbili?,hata mwandiko tuu unaonyesha
 
Back
Top Bottom